Matokeo ya necta yalivyo toka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya necta yalivyo toka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Danp36, Jan 27, 2011.

 1. Danp36

  Danp36 JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Jul 31, 2010
  Messages: 1,591
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Jamani naomba nijulishwe.kama m2 kafanya mtihani wa form 4 kapata .COMMErce .B, b/keeping .A,civics C. Anaweza kusoma form 5 combination ya ECA .kama mathematics kafeli.naomba nijulishwe kwa wanaojua.thanx
   
 2. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Yes unaweza kusoma,.
  Shule Binafsi na uhakika sana unaweza kupata nafasi,
  Lakini kama ni kupata selection Goverment school sijui.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,237
  Likes Received: 14,476
  Trophy Points: 280
  sasa utasomaje eca kama umefeli hesabu??
   
 4. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 599
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kwanza kabisa ECA ni
  E---Economics
  C--Commerce.
  A--Accounting.
  Hapo kwenye C sio CIVICS.
  kwenye combination ya ECA kuna Basic Applied Mathematics hivyo mtu ni lazima awe na kiwango cha ufaulu angalau C katika Basic Mathematics ya Form four.
  Ila siku hizi anaweza pata tu shule ya serikali kama ufaulu wake ni mzuri kwa ujumla.
  Ila kwa shule za binafsi anapata tu na anaendelea na masomo yake vizuri.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,237
  Likes Received: 14,476
  Trophy Points: 280
  :coffee::coffee:
   
 6. semango

  semango JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ungetoa masomo yote ingekua rahisi kukwambia kwa hakika lakini kufeli hesabu hakumzuii kusoma ECA.
   
 7. Danp36

  Danp36 JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Jul 31, 2010
  Messages: 1,591
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Math.f bio D. Civ C. Eng D.kisw D .com B .bk A .hist D.geo D.si amaenda private advance.?nimeyatoa yote
   
 8. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 599
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Private anaenda huyo bila shida.
  Ila kama ni ECA,mwambie ajifunze hesabu au a-re-seat hiyo Basic Math.
   
Loading...