Matokeo ya necta kidato cha pili 2013

Dec 8, 2013
94
10
Haya wakuu, nauliza matokeo ya NECTA ya watoto wetu wa kidato cha pili mwaka 2013, yanatoka lini? Naomba anayefahamu atupe majibu hapa, maana ninasubiri kwa hamu sana.
 
Nashauri necta wangeya "post" kama walivyo fanya ya darasa la saba kuwarahisia wazazi kupata matokeo bila usumbufu
 
Haya wakuu, nauliza matokeo ya NECTA ya watoto wetu wa kidato cha pili mwaka 2013, yanatoka lini? Naomba anayefahamu atupe majibu hapa, maana ninasubiri kwa hamu sana.

Mitihani ya kidato cha pili haisimamiwi na NECTA. Inasimamiwa na ukaguzi wa shule kanda hivyo hayatoki kwa mfumo wa NECTA. Fuatilia kwa mkaguzi mkuu kwenye kanda alikofanyia mwanafunzi. NECTA wao wanapelekewa na wakaguzi wakuu wa kanda.
 
tumepeleka watoto shule na matokeo hayajatoka ...
 
Tetec ni kwamba madogo wamefel sana so wameamua kuya upgrade chini kwa chini b4 wajarelease..chezea Big Result wewe
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom