Matokeo ya Nagu yakibatilishwa, Dr. Slaa kugombea?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Dr.+Slaa.bmp

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina mpango wa kukata kiu ya ‘waliomisi’ uwepo wa Dk. Willibrod Slaa bungeni kwa kumuingiza kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika wakati wowote.

CHADEMA, kinajipanga zaidi kumuingiza Slaa bungeni kupitia Jimbo la Hanang ambalo tayari kimekwishawasilisha pingamizi mahakamani kutaka matokeo yaliyomtangaza Mary Nagu (CCM) mshindi yabatilishwe.

Habari za uhakika zinasema kuwa endapo mahakama itabatilisha uchaguzi wa Hanang, Slaa atagombea katika uchaguzi mdogo na kuna uhakika wa asilimia mia moja kwamba atashinda.

Mkurugenzi wa Vijana wa CHADEMA alilikaririwa akisema mjini Dodoma hivi karibuni kuwa aliyegombea Hanang, Rose Kamili tayari ni Mbunge Viti Maalum, kwahiyo Slaa anaweza kugombea na kushinda.

“Nafasi ni kama hizo, kuna uchaguzi mdogo unakuja, Slaa akigombea sehemu yoyote atashinda,” alisema Mbunge wa ubungo mheshimiwa John Mnyika
 
"Nafasi ni kama hizo, kuna uchaguzi mdogo unakuja, Slaa akigombea sehemu yoyote atashinda," alisema Mbunge wa ubungo mheshimiwa John Mnyika

Putting the horse before the cart...................who knows mahakama itatengua matokeo hayo?.....na harakati za uraisi sasa je? Hivi Dr. Slaa anaishi karatu au Hanang? Hii sasa si itakuwa Dr. Slaa naye kajidhalilisha na kuwa Capertbagger............The how low can Chadema now stoops?............
 
That will be too LOW for Dr Slaa, I doubt if Chadema will allow that to happen, he should remain free to build the party. He has built an aura that can carry Chadema far and better than him becoming an MP, he should focus more on a national level and leave this seat for one of their Members from Hannang
 
Putting the horse before the cart...................who knows mahakama itatengua matokeo hayo?.....na harakati za uraisi sasa je? Hivi Dr. Slaa anaishi karatu au Hanang? Hii sasa si itakuwa Dr. Slaa naye kajidhalilisha na kuwa Capertbagger............The how low can Chadema now stoops?............
Ubunge muu as long as you are Tanzanian na wananchi wanakukubali kuwa utawapigania katika kuleta maendeleo unagombea jimbo lolote sio lazima uwe mkazi wa jimbo husika
 
Hii ni nzuri kwa kuwa kinachotakiwa ni kuongeza idadi ya wabunge wa chadema, ingawaje kwa upande fulani slaa anatakiwa awe huru kuijenga chama na kufa operesheni Makazi Bora, Elimu Bure, Afya bure

peoples power
 
Ni mpango mzuri lakini unahitaji mkakati wa hali ya juu sana kwa kuwa Dr Slaa akishindwa ubunge umaarufu wake unaweza kushuka. Kesi iko mahakamani hakuna anaejua kama chadema watashinda kwa hali hiyo jimbo la Hanang haliwezi kuzungumzwa kama vile kama liko wazi.
 
Ccm wanaweza kutumia kila mbinu kummaliza dokta ktk siasa za kitaifa kwa kuiba kura tena hanang dokta akadondoka ndio ukawa mwanzo wa mwisho wa umaarufu wake, aendelee kudai kura zake zilizoibwa za uraisi ili tupate tume huru ya uchaguzi na katiba mpya ,aachane na masuala ya ubunge.
 
Kukijenga chama kitu gani kwan akiwa bungen hawez kukijenga chama? Mbona umaarufu wake kaupatia humohumo bungeni. Nafasi ikipatikana akagombee hata kama sio arusha nina uhakika atashinda kama mrema alivyolichukua jimbo la temeke. Suala la kusema wataiba kura wataanzia wapi wakati chama chote kitakua eneo la tukio! Nadhani hata akiingia bungeni ataendelea kukijenga chama na atakua na uhuru wa kuzungumza zaidi bila vitisho vya kushtakiwa kwa sababu ibara ya 100 ya katiba inamlinda yeye kama mbunge.
 
Dr.+Slaa.bmp

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina mpango wa kukata kiu ya waliomisi uwepo wa Dk. Willibrod Slaa bungeni kwa kumuingiza kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika wakati wowote.

CHADEMA, kinajipanga zaidi kumuingiza Slaa bungeni kupitia Jimbo la Hanang ambalo tayari kimekwishawasilisha pingamizi mahakamani kutaka matokeo yaliyomtangaza Mary Nagu (CCM) mshindi yabatilishwe.

Habari za uhakika zinasema kuwa endapo mahakama itabatilisha uchaguzi wa Hanang, Slaa atagombea katika uchaguzi mdogo na kuna uhakika wa asilimia mia moja kwamba atashinda.

Mkurugenzi wa Vijana wa CHADEMA alilikaririwa akisema mjini Dodoma hivi karibuni kuwa aliyegombea Hanang, Rose Kamili tayari ni Mbunge Viti Maalum, kwahiyo Slaa anaweza kugombea na kushinda.

Nafasi ni kama hizo, kuna uchaguzi mdogo unakuja, Slaa akigombea sehemu yoyote atashinda, alisema Mbunge wa ubungo mheshimiwa John Mnyika
Huu ni uwongo.
 
Dr.+Slaa.bmp

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina mpango wa kukata kiu ya ‘waliomisi' uwepo wa Dk. Willibrod Slaa bungeni kwa kumuingiza kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika wakati wowote.

CHADEMA, kinajipanga zaidi kumuingiza Slaa bungeni kupitia Jimbo la Hanang ambalo tayari kimekwishawasilisha pingamizi mahakamani kutaka matokeo yaliyomtangaza Mary Nagu (CCM) mshindi yabatilishwe.

Habari za uhakika zinasema kuwa endapo mahakama itabatilisha uchaguzi wa Hanang, Slaa atagombea katika uchaguzi mdogo na kuna uhakika wa asilimia mia moja kwamba atashinda.

Mkurugenzi wa Vijana wa CHADEMA alilikaririwa akisema mjini Dodoma hivi karibuni kuwa aliyegombea Hanang, Rose Kamili tayari ni Mbunge Viti Maalum, kwahiyo Slaa anaweza kugombea na kushinda.

"Nafasi ni kama hizo, kuna uchaguzi mdogo unakuja, Slaa akigombea sehemu yoyote atashinda," alisema Mbunge wa ubungo mheshimiwa John Mnyika

you-have-failed-11.jpg
 
Ni kweli kwamba kukosekana kwa Dr.Slaa bungeni kutapwaya kidogo lakini kufikiria Dr.Slaa agombee ubunge mahali popote pale nchini ni ufinyo wa mawazo. Nikuhakikishie kuwa haya matokeo ya uchaguzi yaliangaliwa pande zote + or - hivyo Dr Slaa atabakia kufungua matawi mengi ya chadema nchini na kuimarisha chama na si vinginevyo.
 
Good idea kwa vile unaongeza nguvu yako huku unapunguza wapinzani ssm. Kuwa na LOW na HIGH mswano sana maana hakuna kukwama
 
Dr. Slaaa apewe uenyekiti wa Chadema ili aweze kujenga chama. apate muda wa kuzunguka nchi zima kufungua matawi na kupanga safu za wanachama waadilifu. aachane na kufikiria kurudi bungeni kwa sasa
 
Dr. Slaaa apewe uenyekiti wa Chadema ili aweze kujenga chama. apate muda wa kuzunguka nchi zima kufungua matawi na kupanga safu za wanachama waadilifu. aachane na kufikiria kurudi bungeni kwa sasa

BIG NO. Abakie kuwa Mtendaji Mkuu wa CHADEMA
 
Jamani Ni haki ya Mtanzania na Mpiganaji yoyote kuona ni wapi anaweza kuwatetea wananchi kwa ufasaha zaidi.... kwahiyo kama Dr. Slaa anaona ataweza kupeleka mapambano bora akiwa Bungeni "Who are we to say otherwise" na kazi ya Chama Chadema ni kumsimamisha mgombea ambaye ana uwezo wa kushinda katika jimbo...... There is no such thing kwamba itakuwa bad move kwa Chadema....
 
It is better we leave this for the man to decide himself. Dr. Is smart enough to judge and convice us anyhow.
 
Back
Top Bottom