Elections 2010 Matokeo ya mwisho: JK aambulia 61.17%

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Kufuatana na habari katika Nipashe ya leo, matokeo ya mwisho ya urais kwa wagombea wakuu watatu ni kwamba Kikwete kapata kura milion 5.169, Dr Slaa kura milioni 2.193 na Prof Lipumba kura mil 0.649. Kwa mahesabu ya haraka haraka ni kwamba Kikwete kaambulia asilimia 64 ya jumla ya kura za watatu hao na Dr Slaa asilimia 27.3, Lipumba asilimia 8.0. Kama zikijumlishwa na za wagombea wengine, zilizoharibika nk -- asilimia hizo zote zitateremka na huenda JK kwa mfano akaambulia asilimia 61 hivi.

Inawezekana TCIB walikuwa sahihi kidogo?
 
Synovate ndo walitabiri ushindi wa 61% kwahiyo nec wamelazimika kutengeneza matokeo yanayoendana na utabiri wa synovate ili wapate back up kwakuwa wanajua watu wenginwameonyesha kutokubaliana na kile wanachokitangaza.
 
64% ni sahihi kwani mawazo ya watu hayafanani kuliko wangesema mtu kashinda kwa 95%
 
Kufuatana na habari katika Nipashe ya leo, matokeo ya mwisho ya urais kwa wagombea wakuu watatu ni kwamba Kikwete kapata kura milion 5.169, Dr Slaa kura milioni 2.193 na Prof Lipumba kura mil 0.649. Kwa mahesabu ya haraka haraka ni kwamba Kikwete kaambulia asilimia 64 ya jumla ya kura za watatu hao na Dr Slaa asilimia 27.3, Lipumba asilimia 8.0. Kama zikijumlishwa na za wagombea wengine, zilizoharibika nk -- asilimia hizo zote zitateremka na huenda JK kwa mfano akaambulia asilimia 61 hivi.

Inawezekana TCIB walikuwa sahihi kidogo?

I never accept ths presdaa
 
Huu si ushindi kwa CCM na Kikwete, maana wao walitaka 80%++.
Hata unajimu wa synovate walijifanya wanaukataa kuwa umewaonea.

Pili, kutoka asilimia 80 kushuka kuja 65 si ushindi bali ni kushindwa.
Kwa CUF pia wameshindwa maana last time nadhani walipata 10% sasa wamepata 8%
Walioshinda ni Chadema, kutoka asilimia 5% kwenda 27%.
 
Ni asilimia ngapi ya watanzania wamemchagua rais? Hii nafikiri inabidi kujadiliwa pia. Je shimbo na wenzake na wamehusika kusababisha watu wasipige kura?
 
Kufuatana na habari katika Nipashe ya leo, matokeo ya mwisho ya urais kwa wagombea wakuu watatu ni kwamba Kikwete kapata kura milion 5.169, Dr Slaa kura milioni 2.193 na Prof Lipumba kura mil 0.649. Kwa mahesabu ya haraka haraka ni kwamba Kikwete kaambulia asilimia 64 ya jumla ya kura za watatu hao na Dr Slaa asilimia 27.3, Lipumba asilimia 8.0. Kama zikijumlishwa na za wagombea wengine, zilizoharibika nk -- asilimia hizo zote zitateremka na huenda JK kwa mfano akaambulia asilimia 61 hivi.

Inawezekana TCIB walikuwa sahihi kidogo?

SLAA 2,I93+220ZA (GEITA)-3= 2,410 Kikwete 5,169-270(geita)+130=5, 029
 
Huu si ushindi kwa CCM na Kikwete, maana wao walitaka 80%++.
Hata unajimu wa synovate walijifanya wanaukataa kuwa umewaonea.

Pili, kutoka asilimia 80 kushuka kuja 65 si ushindi bali ni kushindwa.
Kwa CUF pia wameshindwa maana last time nadhani walipata 10% sasa wamepata 8%
Walioshinda ni Chadema, kutoka asilimia 5% kwenda 27%.

Chademalism itaiua chadema! Be care
 
Synovate ndo walitabiri ushindi wa 61% kwahiyo nec wamelazimika kutengeneza matokeo yanayoendana na utabiri wa synovate ili wapate back up kwakuwa wanajua watu wenginwameonyesha kutokubaliana na kile wanachokitangaza.

Nadhani pia ni wakati sasa wa kurudi kwa Synovate na Redet ku-question research zao za kura za maoni. Zimetofautiana sana zenyewe kwa zenyewe, na pia ya Redet ni tofauti sana na matokeo
 
Hakuna haja ya kujadili hizo data za kura zilizotolewa na NEC kwa sababu sio zenyewe halisi.
 
Kufuatana na habari katika Nipashe ya leo, matokeo ya mwisho ya urais kwa wagombea wakuu watatu ni kwamba Kikwete kapata kura milion 5.169, Dr Slaa kura milioni 2.193 na Prof Lipumba kura mil 0.649. Kwa mahesabu ya haraka haraka ni kwamba Kikwete kaambulia asilimia 64 ya jumla ya kura za watatu hao na Dr Slaa asilimia 27.3, Lipumba asilimia 8.0. Kama zikijumlishwa na za wagombea wengine, zilizoharibika nk -- asilimia hizo zote zitateremka na huenda JK kwa mfano akaambulia asilimia 61 hivi.

Inawezekana TCIB walikuwa sahihi kidogo?

Dr.Slaa umeshinda kilichotokea tumeibiwa. hizo kura za CCM ni za kubuni tu. Kama walijua watachakachua kulikuwa na ulazima gani wa kutumia resources za nchi kiasi hiki. Usalama wa TAifa mmeonyesha ninyi ni machumia tumbo. Mna ndugu waliomasikini na wanahitaji kiongozi serious lakini mmezika ndoto zao. Lawama hizi ziwafikie popote mlipo. Nguvu ya umma inakuja kwa nguvu zote 2015.
 
Hata kama ameshinda uchaguzi lakini kama Rais ameshindwa...2005 alipata 80% mwaka huu possibly 61%(kwa msaada wa taasisi zilizo chini yake TISS,NEC,POLICE,TBC1,DAILY NOISE)...
 
Kufuatana na habari katika Nipashe ya leo, matokeo ya mwisho ya urais kwa wagombea wakuu watatu ni kwamba Kikwete kapata kura milion 5.169, Dr Slaa kura milioni 2.193 na Prof Lipumba kura mil 0.649. Kwa mahesabu ya haraka haraka ni kwamba Kikwete kaambulia asilimia 64 ya jumla ya kura za watatu hao na Dr Slaa asilimia 27.3, Lipumba asilimia 8.0. Kama zikijumlishwa na za wagombea wengine, zilizoharibika nk -- asilimia hizo zote zitateremka na huenda JK kwa mfano akaambulia asilimia 61 hivi.

Inawezekana TCIB walikuwa sahihi kidogo?

Yaani pamoja na kuchakachua bado wameishia 61 %??? Kweli ngoma ilikuwa nzito!!!!
 
wakurugenzi wamefanya kazi yao, tume imefanya kazi yao.......
 
Je ameshinda kihalali???
watu wengi mitaani wanachukizwa na kupinga uhalali wa kura za urais???
watanzania hawakumchagua kikwete lakini usalama wa taifa na wakubwa majeshini ndio waliomchagua kikwete kwa kutumia mbinu chafu.

Atakuwa rais wangu lakini for sure anachukiwa na wengi including me
 
Kama NEC itasema kashinda kwa asilimia 'X' ni sahihi kabisa, kama mtanzania mwingine anabisha, yeye zake alizokusanya atueleze ni ngapi na sio kupiga mikelele tu! Tumechoka, thanks
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom