MATOKEO YA MUSOMA MJINI - Taswira ya CCM ilivyochakachua 2005 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MATOKEO YA MUSOMA MJINI - Taswira ya CCM ilivyochakachua 2005

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mr. Clean, Nov 1, 2010.

 1. M

  Mr. Clean Senior Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  HONGERA SANA Mhe. V. K. Nyerere

  Takwimu za matokeo ya Musoma Mjini zimedhihirisha udhaifu wa kauli ya JK kuwa CCM haiibi kura...!

  Mwaka 2005 Mathayo alishinda ubunge kwa kura takribani 21elf, wananchi walopiga kura walikuwa takribani 40,000
  Mwaka 2010 Nyerere ameshinda ubunge kwa takriban kura 21elf, wananchi waliopiga kura ni takriban 35,000

  Sasa hapo wawezaona kuwa mwaka huu pamoja na mwamko wa kujitokeza kwa vijana wengi pia ikizingatiwa daftari jipya kunaongezeko la vijana: Je, yawezekana kweli idadi ya wapiga kura ipungue leo?

  Jibu ni HAPANA: Kilichofanyika 2005, idadi huenda ilikuwa chini ya 35elf lakini CCM wakaongeza kura hewa zaidi ya 10elf.

  Kilichofanyika 2010 idadi ni hiyo 40elf, LAKINI kwakuwa wanaMusoma walishakuwa alerted na UCHAKACHUAJI wakawa ngangari, hivyo hakuna kura hewa zilizoingizwa.

  ANGALIZO: Ili nchi hii ikombolewe haswa toka mikononi mwa CCM (Kwani ni dhahiri JK atachakachua tuu huko Vijijini na akashinda kwa 52%) hivyo 2015 upinzani wahitajika kuwa ngangari na zaidi ya hapo!

  MUNGU IBARIKI TANZANIA na WATU WAKE!
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Very good analysis mapambano bado yanaendela mpaka kieleweke
   
Loading...