Matokeo ya Mtihani wa Taifa Drs la Saba 2013, Kumi bora. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya Mtihani wa Taifa Drs la Saba 2013, Kumi bora.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Gates, Nov 26, 2013.

 1. G

  Gates Member

  #1
  Nov 26, 2013
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tafadhali naomba kujulishwa shule kumi bora kitaifa kwa mujibu wa matokeo ya mtihani wa Taifa darasa la saba 2013.

  Ahsanteni.
   
 2. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2013
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,030
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Ya kwanza iko shinyanga ilikuwa na watahimiwa 50, ya pili Tusiime ilikuwa na watahiniwa 200 wanapanga kwa vigezo vipi wanajua wao waulize
   
Loading...