Matokeo ya mtihani wa kidato cha sita (acsee) 2011 yametoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya mtihani wa kidato cha sita (acsee) 2011 yametoka

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kamakabuzi, Apr 28, 2011.

 1. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,497
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Kuna uhuni fulani katika website ya necta. Nilipofungua jana saa za jioni nikakutana na message ifuatayo:
  THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
  MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2011 YAMETOKA
  Bofya hapa| | KWA WATEJA WA VODACOM KUPATA MATOKEO KWA UJUMBE MFUPI (SMS) TUMA UJUMBE KWENDA 15311 KATIKA MUUNDO UFUATAO -- MATOKEOXNAMBA YA KITUOXNAMBA YA MTAHINIWA MFANO: MATOKEOXS0000X0500| | --> USAJILI WA ACSEE 2012 UMEANZA RASMI Bofya hapa
  Lakini kila nikibofya narudi kwenye main page au sehemu ya pili naenda kwenye usajili. Nimetuma sms kama ilivyoelekezwa hapo juu, nikaliwa tshs 400 na sikupata jibu lolote. Na leo ni hivyo hivyo!
  Je kuna umakini wowote katika website hii?
  Nawezaje kupata shs 400 zangu ?
  Natumia mozilla firefox
   
 2. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 512
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Nadhani taarifa walioweka kwenye website yao hawakuikagua tena kuona kama inafanya kazi sawia. Lakini nadhani badala ya kutumia * star wao wakatumia X times symbol. Nakushauri utumie * (Star Symbol) pale waliposema X (times symbol).
  Hivyo tuma hivi mfano: MATOKEO*S0000*0500 na sio MATOKEOXS0000X0500 kwenda hiyo namba 15311. Nadhani umeona tofauti. Kumbuka hakuna space (nafasi) kati ya herufi na herufi.
  Nadhani itakubali. Sijajaribu kwasababu sipo huko lakini ninaweza kugundua tu kwasababu ya mfumo wa technologia. Vinginevyo ningeweza kuhakiki kabla sijakushauri. Jaribu hiyo.
   
Loading...