Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mhache, Dec 24, 2008.

 1. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2008
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Matokeo ya mitihani wa darasa la saba yametoka na Mkoa wa Dar es Salaam umeongoza kwa kufaulisha ukifuatiwa na jiji la kitalii, mkoa wa Arusha. Cha kushangaza ni kwamba idadi kubwa ya waliofaulu hawatapata nafasi ya kuendelea na masomo ya kidato cha kwanza. Je hilo ni tatizo la nani? Na kama wengi hawatapata nafasi ya kuendelea na masom kuna maana gani ya kufaulu?
   
 2. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145

  Hilo ni tatizo la Professor Maghembe kutangaza vita wakati hata rungu hana
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,274
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Serikali iko bize na uingizaji wa magari ya kifahari ....................................
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,013
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  labda hapo ndipo serikali itakapoamka na kubaini kuwa kile inachokiita mafanikio katika sekta ya elimu ni kiinimacho tu
   
 5. b

  benzoo Member

  #5
  Dec 6, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ....kwa mwendo huu nina shaka na mkakati wa serikali kwamba wanafunzi wote wanaohitimu elimu ya msingi waende sekondari,sidhani kama itafanikiwa......
   
 6. b

  benzoo Member

  #6
  Dec 6, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania bado ha2japata viongoz ambao wapo commited haswa na maendeleo ya elimu.hivi ni kweli serikali imeshindwa kuweka mazingira ya kuingiza sekondari watoto wote waliofaulu darasa la saba?kamwe sitaki kuamini hilo kwani viongozi wetu ni watu wa anasa mno na kujijali wenyewe huku wakiwaacha watoto wa 'small peasants' wakikosa kwenda shule...!
   
 7. b

  benzoo Member

  #7
  Dec 6, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na kujipangia mishahara mikubwa na malupulupu kibao bungeni
   
 8. mtweve

  mtweve Member

  #8
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ps.0206022/117
   
 9. s

  shebizy katanga New Member

  #9
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ebwana bora mseme nyie.
   
 10. M

  Malabata JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanashida gani mtoto wa mlala hoi akikosa shule,wakati watoto wao lazima wataenda shule tena za bei kubwa kwa pesa za mlalahoi tena mtoa jasho
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 8,801
  Likes Received: 1,223
  Trophy Points: 280
  Huu ulikuwa mkakati wa EL, utafufuka akirudi.
   
 12. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Mkuu! Hii nimeipenda! Lakini acha waingize tu maana iko siku wataogopa hata kuendesha.
   
 13. M

  Makupa JF-Expert Member

  #13
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Asilimia tisini ya wanaosoma pale mlimani chuo cha ukweli hapa tz wanatoka vijijini
   
 14. s

  sixmund6 Member

  #14
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ayamatokeo nitayapata ktk website gani
   
 15. s

  sixmund6 Member

  #15
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hapana, UDSM imebaki jina tu, SJCET ndiyo cha ukweehee.
   
 16. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #16
  Dec 13, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,140
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Jaman hii post ni ya 2008
   
 17. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #17
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,796
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 160
  Kumbe ya 2008?!yaani nimekimbilia kuifungua fasta!mh
   
 18. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #18
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,100
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
  Wanatuconfuse, sasa kwa nini wamei-retrieve kutuchanganya,
   
 19. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,796
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 160
  Tbc wametangaza matokeo yatatoka kesho au keshokutwa,matokeo ya mwaka huu.
   
 20. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #20
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  tunayapata kwenye website gani?
   
Loading...