Matokeo ya mitihani ya diploma za afya yanatoka lini

ntabudjo

Member
Jun 1, 2016
70
64
Ndugu zangu habarini za weekend mimi nina mdogo wangu kamaliza chuo cha serikali tangu mwezi wa tisa diploma ya udaktari katika moja wapo ya vyuo ya serikali vilivyopo nchini lakini kumekuwepo na sintofahamu ya matokeo hayo kwa sababu mara ya kwanza nilidhani ananidanganya kumbe ni kweli baada ya kuuliza baadhi ya wadau wa elimu

Swali langu matokeo haya yanatoka lini kwa maana ilizoeleka kutoka mwezi wa 11

Swali jingine kwanini yamechelewa kutoka ?

Mwenye majibu ya maswali yangu naomba anieleweshe tafadhali
 
Back
Top Bottom