Matokeo ya MISS CHITCHAT nusu fainali,haya hapa

We Lundenga wa JF mbona hujatenda haki! Nipe sababu ya msingi ya kutomweka bibie gfsonwin kwenye kinyanganyiro hiki au umeona hana sifa! Mimi nampa kura hata kama hujamweka kwenye mchakato!

aah! unafikiri nina mpinzani basiii hizi ni chuki zao binafsi tu. wewe usijali kabisa najua miye nikiingia nawabwaga wote.
 
Back
Top Bottom