Matokeo ya MISS CHITCHAT nusu fainali,haya hapa

Tangu Lini X wako akakuweka ktk shindano.
"Lundenga" wewe ni Muongo,
Catherin nimempigia kura halaf u unatangaza kuwa eti hajapata kura.

siri imefichuka. Nashangaa hata mashindano yaliyopita sikupigiwa kura na hata mtu mmoja ila ikatangazwa nimepata kura moja. Kumuuliza huyu lundenga hakuwa na jibu. Ahsante Madame B.
 
Last edited by a moderator:

Alikuwa anatutaka shosti,hana lolote.
 
Last edited by a moderator:
siri imefichuka. Nashangaa hata mashindano yaliyopita sikupigiwa kura na hata mtu mmoja ila ikatangazwa nimepata kura moja. Kumuuliza huyu lundenga hakuwa na jibu. Ahsante Madame B.

Hahahaha bora mie ambae sijapiga kabisa manake ingeniuma sana kura yangu kuibiwa hadharani hivi lol!
 
Jamani sweetlady Madame B CATHELINE acheni kuwa mnanitegatega ntafanya kweli oohoo!kile mara mnajipitishapitisha mara munioneshe ma-paja nta...nyie nichezeeni sasa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom