Matokeo ya MISS CHITCHAT nusu fainali,haya hapa

We Lundenga wa JF mbona hujatenda haki! Nipe sababu ya msingi ya kutomweka bibie gfsonwin kwenye kinyanganyiro hiki au umeona hana sifa! Mimi nampa kura hata kama hujamweka kwenye mchakato!
 
Last edited by a moderator:
Remmy ahadi ni deni.. Timiza kwanza ahadi yako ya Kitumbua. Nina kura 35 zangu mwenyewe pia kura 23 za watu wangu wa karibu.

Jamani ahadi zinatekelezwa nikishinda,. Piga kura tu, tena tutaenda kule Kawe bondeni kwa kamanda wetu kumchukua kasema anataka kutoka out, kachoka kukaa kwa bed.
 
Jamani ahadi zinatekelezwa nikishinda,. Piga kura tu, tena tutaenda kule Kawe bondeni kwa kamanda wetu kumchukua kasema anataka kutoka out, kachoka kukaa kwa bed.
Remmy usiniangushe pitapita mitaani uombe kura,tumekula ng'ombe huu mkia unatushindaje?ntajiuzuru u-campain manager maana naona hujishughulish
 
Last edited by a moderator:
Jamani ahadi zinatekelezwa nikishinda,. Piga kura tu, tena tutaenda kule Kawe bondeni kwa kamanda wetu kumchukua kasema anataka kutoka out, kachoka kukaa kwa bed.

duh! Unanipga sound hvihvi? Ila kwa kuwa umejicommit mwenyewe kwenye hlo hakuna tatizo.
 
Ayaaaa. Ila si bado uchaguzi haujafanyika?

Uchaguzi ushafanyika na Rutta kachukua umiliki halali wa mwili huu.
We si ulienda kuoa juzijuzi hapa hadi ukamtangazia BAGAH hataki kuoa kisa eti anasubiri ile kampeni kule Mikoani ipite ili avue nanilii!!
Haya kwahyo ulikuwa unasemaje?
Mshahara wako sh ngapi?
Una gari?
Una Accoun?
Ina sh ngapi?
Una nyumba?
Una pamba za kufa mtu wewe?
Una..? Una..? Una..?
Wewe,utachinjwa.
 
kumbe wakora waitu ameweza? Hvyo vyote ulivyotaja vipo.
 
Last edited by a moderator:
Naomba mwongozo mh. Ruhuza jr. Hivi hapa twafanza kura au twafanza kula??? Maana hapa naona kutongozana na stori vimezidi. Charminglady nimempa kura. Vipi umenionea wapi mamndenyi wangu?
 
Wangu hayo mambo hana hata moja! Hadi sasa hajui mshahara wake Tsh ngapi,

Back
Top Bottom