Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,576
- 4,060
Ila mkuu kilicho kirahisi kwako kwa mwingine kigumu....Mbinguni nimefurahi kuona andiko lako. Nilikuwa science with education miaka hiyo hiyo 1983-1986/87 tuliongezawa condensed year ya education). Na kweli sheria ndiko watu walikuwa na nafasi ya kwenda hall 3 kutafuta wasichana na kucheza muziki kule hotel ya UDSM Bahari beach?? Kunduchi bahari Beach Hotel???. Walikuwa wanasema katika faculty ambayo haijawahi kudisco mwanafunzi ilikuwa Law! Leo eti ni ngumu, wapuuzi. Nimesoma law na nimemaliza bila hata supp miaka hii, nikijisomea mwenyewe!
Huo mjadala ni wa enzi zile za secondary wanasema ooh PCM ngumu kushinda HKL lakini huyo mtu wa PCM ukimpa mtihani wa Kiswahili anataga....
Hakuna kitu kirahisi duniani kwa kila mmoja wetu...kila mtu ni kilaza kwenye kitu fulani ndo mana unavosema law ni course nyepesi hiyo ni kwako sio kwa wote hakunaga course nyepesi..
Uko too general..
Ndo mana katika law... kwenye evidence....expert evidence...kuna rule moja inasema kua
"An expert in field one is a layman in another field"...