Matokeo ya Law school of Tanzania, kati ya wanafunzi 500+ walio-clear masomo yote ni 22 tuu!

Tatizo wengi wanakaririshwa kuna hela kwenye sheria ndo mana unakuta wengi ni vilaza yani janja janja nyingi sana...

Nilikua napataga sifa za Mebere Marando kua ni wakili mzuri blah blah yani siku nipo kisutu pale alikua na case moja ya criminal yani kulikua na janja janja nyingi sana yani ni mtupu bana wale ndo wanshinda kwa kuhonga mahakimu afu wanatafuta publicity ili wapate wateja kibao more money ....lakin they are very far from bein good lawyers..

Mimi sio advocate kwa kudeclare interest
Ujanja wa mawakily wengi ni kumsaidia mteja kumhonga hakymu!!!!
 
Wewe userious wa mtu kimasomo unaupima kwa macho au unakipimo gani had useme hawako serious? Ama unadhan kukaa karibu na mahakama ndo kujua sheria?
Wewe utakuwa mmojawao.

Hampo serious bana, huo ndio ukweli.
 
Halafu nyie mnaolalamika hivi ndo wale mnakutana na mabush lawyer wanawaharibia kesi zenu mnakuja kulia lia wanasheria hawana kitu....

Law is not for every one ndo mana kukawa na Sociology mkuu...
Sociology is more scientific kuliko Law!!! Kila mmoja anaweza kusoma sheria na kufaulu vizuri, japo si kila mmoja anaweza kuwa wakili mzuri!!! Law is for everyone to study but not everyone can practice law!!!! To practice law is left for those who are talented!!!
Ndio maana kombinesheni yoyote ukiifaulu inakuruhusu kusoma Law!!!!! Therefore law is for everyone!!!
 
Mitihani si migumu ila wahadhiri ndo wanalazimisha ionekane hivyo!! Haiwezekani wanafunzi wakubali kulipa mamilioni halafu wasiwe serious!!!
Sijui unawaongelea wahadhiri wa chuo gani ila kwa pale law school ukiskia mtu kadisco ujue huyo ni kilaza wa hali ya juu hakustahili hata kua na LLB....
Mi naona law school wako fair sana mbona mm sikua najuana na mhadhiri yoyote yule pale na wala sikua serious kabisa mpaka zile week 2 kabla ya mitihani lakini sikudisco??

Ishu ni uzembe wa wanafunzi halafu wengi wana llb za kupewa yani mzembe toka chuoni huko..
 
Sociology is more scientific kuliko Law!!! Kila mmoja anaweza kusoma sheria na kufaulu vizuri, japo si kila mmoja anaweza kuwa wakili mzuri!!! Law is for everyone to study but not everyone can practice law!!!! To practice law is left for those who are talented!!!
Ndio maana kombinesheni yoyote ukiifaulu inakuruhusu kusoma Law!!!!! Therefore law is for everyone!!!
For everyone? Then why unadisco sasa??
Sio kila course ni for everyone...mfano mimi.mtu wa medicine akiniambia medicine is not for you...ntakubali kweli na nikiisoma ntakua nalazimisha fani tu na kama nisipodisco MUHAS basi nikiwa Dokta kua makini maana ukinipa mgonjwa wako jiandae na msiba!
 
For everyone? Then why unadisco sasa??
Sio kila course ni for everyone...mfano mimi.mtu wa medicine akiniambia medicine is not for you...ntakubali kweli na nikiisoma ntakua nalazimisha fani tu
Kwel kabisa mkuu hivi law school ndo unaweza ukachagua uwe nan? Kat ya hakimj au wakili??
 
Nasikia kuna jimoja la Commercial law limefukuzwa kwa kuwaomba wanafunzi ngono na hela!!
 
For everyone? Then why unadisco sasa??
Sio kila course ni for everyone...mfano mimi.mtu wa medicine akiniambia medicine is not for you...ntakubali kweli na nikiisoma ntakua nalazimisha fani tu na kama nisipodisco MUHAS basi nikiwa Dokta kua makini maana ukinipa mgonjwa wako jiandae na msiba!
Stanley una mawazo ya kijima! I will come back to you kesho
 
Nasikia kuna jimoja la Commercial law limefukuzwa kwa kuwaomba wanafunzi ngono na hela!!
Ni yule Edward Chuwa kafukuzwa??
Kama ni kweli jamaa anastahili kufukuzwa lile ndo somo pekee ambalo ufelishaji wake una walakini yule jamaa kufundisha hajui afu ana uboya fulani hivi nashukuru hakuwai kuja anga zangu ila namuelewa sana ana mambo ya ajabu ajabu
 
Law ni kati ya kozi nyepesi sana! Wahadhiri ndo wanalazimisha ionekane ngumu kwa sababu wanazozijua wenyewe!! Miaka ile ya themanini (1983-1986) nilipokuwa nasoma hapo mlimani, kitivo cha sheria ndo kilikuwa kitivo pekee ambacho hakikuwa kina-disco wanafunzi!!! Disco pale sheria zilikuwa adimu sana!! Disco nyingi zilikuwa sayansi ikifuatiwa na engineering!!!!
Hakuna sababu ya sheria kuwa ngumu! Ndio maana MTU yeyote anaweza kusoma sheria kutoka kombinesheni yoyote aliyofaulu, ili mradi awe na credit za historia na English huko O-level!!
Sheria ni taarifa na mfumo!! Hakuna ugumu wowote wa kuielewa taarifa na mfumo!!!!!
Mbinguni nimefurahi kuona andiko lako. Nilikuwa science with education miaka hiyo hiyo 1983-1986/87 tuliongezawa condensed year ya education). Na kweli sheria ndiko watu walikuwa na nafasi ya kwenda hall 3 kutafuta wasichana na kucheza muziki kule hotel ya UDSM Bahari beach?? Kunduchi bahari Beach Hotel???. Walikuwa wanasema katika faculty ambayo haijawahi kudisco mwanafunzi ilikuwa Law! Leo eti ni ngumu, wapuuzi. Nimesoma law na nimemaliza bila hata supp miaka hii, nikijisomea mwenyewe!
 
Ni yule Edward Chuwa kafukuzwa??
Kama ni kweli jamaa anastahili kufukuzwa lile ndo somo pekee ambalo ufelishaji wake una walakini yule jamaa kufundisha hajui afu ana uboya fulani hivi nashukuru hakuwai kuja anga zangu ila namuelewa sana ana mambo ya ajabu ajabu
Yes Chuwa amefukuzwa kwa kuwaomba hela wanafunzi, ngono na kuwafelisha! Kama nilivyokueleza, nina mwanangu pale! ndiyo nilikuomba notes za commercial law
 
Yes Chuwa amefukuzwa kwa kuwaomba hela wanafunzi, ngono na kuwafelisha! Kama nilivyokueleza, nina mwanangu pale! ndiyo nilikuomba notes za commercial law
Kama ni chuwa nakubali sana aondolewe yule jamaa na mambo fulani ya kishamba sana....
Na kiukweli alikua anafelisha watu makusudi maana mitihani ya commercial ilikua mirahisi kweli kweli lakini unashangaa asilimia kubwa wamesupp halafu alikua anapenda sana umwinyi mwinyi na ni mtupu kichwani sielewi alipataje kazi pale..

Ila tukiongea ukweli Chuwa alikua sio sababu ya watu kuDISCO mana yeye ni somo moja tu kati ya matano core ambayo ukifeli unadisco....
Na wale walimu wa masomo mengine mbona wako fresh tu labda kale kajamaa kafupi ja probate keupe sijui kanaitwa nani tena ila sidhani mana sikuona watu wakilia lia sana...ila all in all Chuwa kufukuzwa pale ni habari nzuri sana kuna masomo ya kusupp...commercial sio moja wapo!

Na mkuu.kuhusu notes za commercial kiukweli mimi nilikua nasomea mitihani so nilikua naenda kuchukua steshenari pale walimu wakitoa kwaiyo kama mwanao anasoma kwajili ya mitihani simshauri asome kitu.kingine zaidi ya zile notes za walimu.....

aende kwenye zile stehenari pale awaulize kua commercial kuna notes gani zimetolewa watampa mi naamini kwa kipindi hiki hizo notes ni nzuri kuliko hata kusoma vitabu ...

Mana unajua kusoma ili ufaulu mitihani na kusoma ili upate knowledge ni vitu viwili tofauti...
 
Back
Top Bottom