mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,661
- 18,035
Mitihani si migumu ila wahadhiri ndo wanalazimisha ionekane hivyo!! Haiwezekani wanafunzi wakubali kulipa mamilioni halafu wasiwe serious!!!Mitihani ni migumu lakini pia hakuna seriousnesss ya kutosha kwa baadhi ya wanafunzi.