Matokeo ya Law school of Tanzania, kati ya wanafunzi 500+ walio-clear masomo yote ni 22 tuu!

Pale Law school lazima usome...ni Programme nzuri sana na mhimu inaivisha watu hasa wanasheria ukitaka uive vzr baada ya Degree soma pale..lakini usome kweli kweli sio ujanja ujanja wa kibongo mkipigwa mnakimbia mitandaoni kulia lia...hawa watoto wa leo hawasomi wanachat tu na misimu yao sasa wakipigwa wanawahi mtandaoni ...Hata hao Law school wakikufaulisha ujue kabisa ukiingia mahakamani Bila ujuzi utalia mchozi utapigwa PO mpaka wakili wa upande wa pili akuhurumie..Sheria lazima usome ujue procedure its a science no short cut
 
Elimu ya Tanzania imejengewe fikra kwamba wanapofaulu wachache ndio ubora wa elimu.

Hii ni dhana ya kizamani ya kishamba na ulimbukeni wa elimu.

Elimu itolewe kwa kiwango sahihi na watu wafaulu kwa kiwango sahihi bila ubabaishaji na vikwazo.

Mbona Harvard School of Law hakuna haya mambo ya elimu hizi za kuvutana kama hawa maprofesa uchwara wanavyofanya???

Maprofesa wenyewe hawa wa UPE wa enzi za Nyerere waliosoma shule za mitini lakini wanajitia ujuaji mwingi Teh...

Ushamba mzigo!
 
samahani naomba kueleweshwa je hao wengine waliobaki ni kwamba wamedisco au ? pili je mtu mwenye degree ya law anaeza kufanya kazi gan au kuajiriwa wapi? natanguliza shukrani
 
Elimu ya Tanzania imejengewe fikra kwamba wanapofaulu wachache ndio ubora wa elimu.

Hii ni dhana ya kizamani ya kishamba na ulimbukeni wa elimu.

Elimu itolewe kwa kiwango sahihi na watu wafaulu kwa kiwango sahihi bila ubabaishaji na vikwazo.

Mbona Harvard School of Law hakuna haya mambo ya elimu hizi za kuvutana kama hawa maprofesa uchwara wanavyofanya???

Maprofesa wenyewe hawa wa UPE wa enzi za Nyerere waliosoma shule za mitini lakini wanajitia ujuaji mwingi Teh...

Ushamba mzigo!

Havard school of law ni ya kawaida sanaa na hata ukifaulu pale hauwii kitu, kwa marekani ili uwe advocate lazima ufanye mitihani ya Legal Bars ambayo ufaulu wake ni mdogo sanaaa hata mawaziri kibao walishafeli, na kubwa kuliko yote kwao ni ile New York Legal Bars Examination hadi mtoto wa J.Kennedy aliwai kudunda mara zote alizofanya...
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom