Matokeo ya kushiba ugali ambao hujatafuta unga ndio haya. BILA YA KUJALI KIFO....

Hii video iondolewe huku. Kama kuna watoto au watu wenye akili kama za Zero IQ wanaweza kuwaza kujaribu huu mchezo na wakafanya kweli. Chondechonde.
 
Back
Top Bottom