Matokeo ya Kura za Maoni Igunga: CCM - Dr Kafumo, CHADEMA - Mwl Joseph Kashindye

Msema kweli mpenz wa mungu,<br />
Mimi sitaki hiki chama cha mashehe na wavaa kanzu na balagashia na mgombea wao MALEOPARD(MACHUI) ashinde, lakini nimesikitika sana leo nikiwa ndani ya Basi nilipopita Igunga mjini. Kila kona imesheheni bendera za CUF, Benson Kigaila na wenzio ikiwa mnafanya mchezo huko na jimbo likaenda msikitini au mashehe wakawapita mtatafutia pa kujichimbia, hatutaki ujinga kabisa.<br />
<br />
Nilikuja kampeni za busanda na mliwazidi CUF kwa kila kitu, kwa nini Igunga mjini yamejaa mabendera ya CUF na za CHADEMA ni za kuokoteza vijiwe viwili vitatu?<br />
Yule Mtatiro bogus anawashinda nini hapo?<br />
My take; KAMA MMESHINDWA KAZI KAMANDA ONDOKENI WAJE MAKAMANDA WENGINE!<br />
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeees! HATUTAKI JIMBO LIENDE MSIKITINI.
<br />
<br />

Huu ni upuuzi wa kiwango cha juu kabisa kuwahi kuona humu jf! I guess this boy wrote this while in toilet!
 
Huyo kamishina wa madini si ndo wale wale wezi au ye msafi maana haka kawizara mh! simwamini mtu
 
Tujadili matokeo badala ya kusababisha matokeo,tujiandae kuepusha wananchi wa igunga na Balaa ya kuwa kuendelea kuwa utumwani,Mimi naenda Igunga kutimiza wajibu wangu.Wewe Je? Mjulishe mwenzio kuwa Ukombo wa Nchi hii unahitaji ushiriki wa kila moja alie na nia njema.Tumechoka kuwa katika utumwa,ni muda wa kuvua mnyororo wa utumwa.
 
Ama kweli mzizi wa rostam kuukata bado kazi ipo sasa umetambaa kuingia CHADEMA, nasikitika kifo cha sheikh yahaya angekuwepo angetabili hatma ya igunga, rostam awezesha wapiganaji wake kushinda vyama hasimu vyote kusimamisha wagombea wake, natabiri ushindi kwa CCM na kifo cha mende kwa chadema. kaka yangu kashindye unakumbu ka mlivyouza chama mwaka jana na Kamanda MAJOMOTO kwa just peanut money, mkuu wa kambi ya upinzani bungeni sijui kama umepokea kiparata cha ccm kutoka kwa kashindye? rostam alipewa jukumu la kuhakikisha Mh. kikwete anachukua kura zote za uraisi mkoa wa tabora, katika safu ya rostam wilaya ya igunga kaka yangu kashindye alipewa jukumu kwa kupitia nafasi yake ya mkaguzi wa elimu wilaya kufanya kazi na walimu wote wa wilaya kuhakikisha Dr. Slaa anapigwa chini kwa kutumia kauli mbiu ya DR. SLAA FISADI WA MAPENZI eti kNYEaiba mke wa mtu binti wa kihaya josephine mshumbusi IKULU haingi mtu bila first lady sijui mrs Dr. hufai? doctor kamanda wako alifuta kauli hiyo?

anyway tuache hayo wanaigunga kwa mara nyingine tena mnatoswa kwenye mdomo wa mamba kweli HAKUNA HAKI WALA NGUVU YA UMA labda KIHAMA YA WANAIGUNGA NDIO IMEFIKA HAMNA PA KUTOKEA Mkijipendekeza kwa kafumu mmekwisha na mkijipendekeza kwa KASHINDYE mmekwisha.

kazi kwenu ni mtizamo
 
Propaganda hizi katafute kijiwe cha CUF uwaambie...
 
Ili kuhakikisha Ushindi Chadema inatakiwa kupeleka ujumbe mzito Igunga... Na watu ambao nawapendekeza ktk msafara huo ni Dr.Slaa, Mbowe, Zitto, Mndee na vijana J.J Mnyika na Weche.. CDM lazima ibadilishe strategy ya ushindi kwa kuwahusisha wakazi wa Igunga ktk ufunguzi wa kampeni hii pia itakuwa vizuri sana kama tunapata support ya NCCR - Mageuzi kumpitisha mgombea wa Chadema. Kwa jinsi muda usivyokuwa upande wa Chadema inabidi kambi ifungwe mapema na kampeni za nyuma hadi nyumba zianze mapema kwa mgombea kupata muda wakutembelea kata zote zinazohusu jimbo lake.

Ni kazi nzito sana kwa sababu CCM hawatakubali kabisa kupoteza jimbo ambalo tayari wamekwisha shinda na katika mkoa ambao kihistoria umekuwa chini ya CCM kwa miaka mingi...Ushindi wa Igunga ni mwanzo wa mageuzi mkoani humo - Ushindi ni lazima...
Vipi tena mkuu utabiri wetu umebadilika.
 
Nimeongea na jamaa yangu yuko igunga kasema, anayedhani CDM hawana chao Igunga anajidanganya jamaa wako vizuri ile mbaya mpaka amenishangaza chaguo lao ni bab kubwa limemtisha sana jamaa wa cuf nasikia aliwahi kutaka kuhamia CDM.

Ki ukweli jamaa kasema yule ticha ni msomi ana degree moja na ni mkali katika kujenga hoja.Ameongeza kusema kura walizo pata cuf zisiwatie kiburi kwa vile watu walitaka mabadiliko rost ham alishawazingua ila hawakuwa na chaguo mbadala na sasa Chadema ndio tumaini lao pekee.
nawasilisha.

kwenye mchakato wa ccm kasema hela imetembea mbaya na mgawanyiko ndani ya magamba bado ni dhahiri shairi. Fuatilieni detailed info kutoka reliable sources kama mna majamaa yenu huko Igunga mthibitishe haya ninayosema.
Kwenye bold nakubaliana na wewe kuna watu watatu wamekamatwa na Takukuru wakati wa kura za maoni soma hapa..
Takukuru yadaka makada CCM mkutanoni Igunga

  • Wadaiwa kukutwa katika mazingira ya kugawana rushwa
  • Walikuwa kwenye eneo la mkutano wa kura za maoni
Wakati vyama vya CCM na Chadema vikiwa katika mchakato wa kura ya maoni ya kuwapata wanachama watakaowania ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga, mkoani Tabora, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), wilayani humo, imewakamata wafuasi watatu wa CCM kwa tuhuma za rushwa.

Watu hao ambao majina yao hayajafahamika, walikamatwa jana baada ya kukutwa na maofisa wa Takukuru wakiwa katika mazingira yaliyoashiria kuwa walikuwa wakigawana rushwa. Watu hao walikamatwa kwenye eneo ambako mkutano mkuu maalum wa CCM wa wilaya wa kura za maoni ya kumpata mgombea ubunge kupitia chama hicho ukifanyika.

Mkuu wa Takukuru Wilaya ya Igunga, John Ngunangwa, alithibitisha kukamatwa kwa watu.
“Tuliwashikilia kwa muda, baadaye walidhaminiwa,” alisema Ngunangwa alipozungumza na NIPASHE kwa njia ya simu jana.
Alisema watu hao walikamatwa baada ya Takukuru kupata taarifa kwamba walionekana wakiwa katika mazingira yaliyoashiria kuwa walikuwa wakigawana rushwa.

Ngunangwa alisema walikuwa kwenye eneo ambalo zoezi la upigaji kura za maoni za kumpata mwanachama atakayewania ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi huo na kwamba, uchunguzi kuhusu tuhuma zinazowakabili unaendelea.
Hata hivyo, alisema asingeweza kukumbuka majina na nyadhifa za watuhumiwa hao kwa vile muda ambao alizungumza na mwandishi, alikuwa nje ya ofisi.

CCM ambayo ilifanyia mkutano wake huo katika ukumbi wa Shule ya Msingi Sant-Leo, iliyoko mjini Igunga, uliwashirikisha wajumbe 953 kutoka katika matawi yaliyopo jimboni humo.

Wakati CCM ikifanya mkutano wake, Chadema ilifanya mkutano wake katika ukumbi wa Sakao uliotumiwa na Rostam Aziz kutangaza kujiuzulu ubunge na ujumbe wa Halmashauri ya Kuu (NEC), ya chama hicho.

Mkutano huo wa Chadema uliwashirikisha wajumbe 298 kutoka matawi yote ya chama hicho jimboni humo.
Hata hivyo, mikutano hiyo ya uteuzi ilifanyika wakati mji wa Igunga ukiwa katika giza kwa siku mbili mfululizo kuanzia juzi.
 
Kafumu is corrupt na hakuna zaidi .Mengine CUF ni ma CCM B hakuna zaidi hapa .Go Chadema
 
Msema kweli mpenz wa mungu,
Mimi sitaki hiki chama cha mashehe na wavaa kanzu na balagashia na mgombea wao MALEOPARD(MACHUI) ashinde, lakini nimesikitika sana leo nikiwa ndani ya Basi nilipopita Igunga mjini. Kila kona imesheheni bendera za CUF, Benson Kigaila na wenzio ikiwa mnafanya mchezo huko na jimbo likaenda msikitini au mashehe wakawapita mtatafutia pa kujichimbia, hatutaki ujinga kabisa.

Nilikuja kampeni za busanda na mliwazidi CUF kwa kila kitu, kwa nini Igunga mjini yamejaa mabendera ya CUF na za CHADEMA ni za kuokoteza vijiwe viwili vitatu?
Yule Mtatiro bogus anawashinda nini hapo?
My take; KAMA MMESHINDWA KAZI KAMANDA ONDOKENI WAJE MAKAMANDA WENGINE!
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeees! HATUTAKI JIMBO LIENDE MSIKITINI.

Magamba at work!!!
 
Ama kweli mzizi wa rostam kuukata bado kazi ipo sasa umetambaa kuingia CHADEMA, nasikitika kifo cha sheikh yahaya angekuwepo angetabili hatma ya igunga, rostam awezesha wapiganaji wake kushinda vyama hasimu vyote kusimamisha wagombea wake, natabiri ushindi kwa CCM na kifo cha mende kwa chadema. kaka yangu kashindye unakumbu ka mlivyouza chama mwaka jana na Kamanda MAJOMOTO kwa just peanut money, mkuu wa kambi ya upinzani bungeni sijui kama umepokea kiparata cha ccm kutoka kwa kashindye? rostam alipewa jukumu la kuhakikisha Mh. kikwete anachukua kura zote za uraisi mkoa wa tabora, katika safu ya rostam wilaya ya igunga kaka yangu kashindye alipewa jukumu kwa kupitia nafasi yake ya mkaguzi wa elimu wilaya kufanya kazi na walimu wote wa wilaya kuhakikisha Dr. Slaa anapigwa chini kwa kutumia kauli mbiu ya DR. SLAA FISADI WA MAPENZI eti kNYEaiba mke wa mtu binti wa kihaya josephine mshumbusi IKULU haingi mtu bila first lady sijui mrs Dr. hufai? doctor kamanda wako alifuta kauli hiyo?

anyway tuache hayo wanaigunga kwa mara nyingine tena mnatoswa kwenye mdomo wa mamba kweli HAKUNA HAKI WALA NGUVU YA UMA labda KIHAMA YA WANAIGUNGA NDIO IMEFIKA HAMNA PA KUTOKEA Mkijipendekeza kwa kafumu mmekwisha na mkijipendekeza kwa KASHINDYE mmekwisha.

kazi kwenu ni mtizamo
Nilipoona mada yako ya kwanza kwenye ile thread nyingine nilidhani kweli lakini nimegundua unajenda ya siri kumbe tayari umeshaanza kampeni,Mimi mwenyewe nilikuwa kati ya wale niliosema Dr Slaa hafai kwa sababu ameiba mke wa mtu ,lakini leo hii najuta kutambua uamuzi wangu ulikuwa mbaya CCM ni janga la kitaifa kwa hiyo huyo Kashindya kama atapitishwa atawaeleza wananchi ukweli ,watanzania wengi sasa wanakubaliana na kauli ya DR Slaa,kwamba KUCHAGUA CCM NI MAAFA
 
Msema kweli mpenz wa mungu,
Mimi sitaki hiki chama cha mashehe na wavaa kanzu na balagashia na mgombea wao MALEOPARD(MACHUI) ashinde, lakini nimesikitika sana leo nikiwa ndani ya Basi nilipopita Igunga mjini. Kila kona imesheheni bendera za CUF, Benson Kigaila na wenzio ikiwa mnafanya mchezo huko na jimbo likaenda msikitini au mashehe wakawapita mtatafutia pa kujichimbia, hatutaki ujinga kabisa.

Nilikuja kampeni za busanda na mliwazidi CUF kwa kila kitu, kwa nini Igunga mjini yamejaa mabendera ya CUF na za CHADEMA ni za kuokoteza vijiwe viwili vitatu?
Yule Mtatiro bogus anawashinda nini hapo?
My take; KAMA MMESHINDWA KAZI KAMANDA ONDOKENI WAJE MAKAMANDA WENGINE!
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeees! HATUTAKI JIMBO LIENDE MSIKITINI.
Duuh Siamini kama hadi leo hii kuna Magamba ambayo yanahitaji shoka kugambuka,Wenzako wameshaona propaganda hazilipi hadi kitengo Kikafungwa Tambwe,Msabaha wakatupwa nje,Nape kakalishwa chini wewe unadhani utaweza kudanganya aah bwana tafadhali , ebu jiheshimu angalau kidogo nyakati za ujinga zimeshapita bwana
 
Achana na hao Kafu masalia wanadhani udini utalipa Igunga..
 
Safi sana kwa CHADEMA kwa kumpitisha Mwl Kashindye kwani kama mtu wangu hapo juu alivyoeleza kuwa yeye Mwl Kashindye ana uzoefu na anafahamu Geografia ya pale hasa ukizingatia ni mratibu Elimu wa pale big up sasa iliyobaki ni kujipanga tu hakuna kulala

sio kigezo cha msingi kujua geografia ya jimbo kwani hata mheshimiwa kandoro alipopewa mkoa wa mwanza na baba ridhiwani alikuwa anajua geographia ya mwanza. tunataka ushindi na mchapa kazi na sio wenyeji wa jimbo
 
Ninapenda kushauri wapenzi wangu wapinzani kuwa kaeni mjadiliane ili jimbo hilo tulichukue. Ninajua kuwa both CUF na CHADEMA hivi sasa wanakubalika kote nchini. Lakini hilli haitoshi kuiondoa CCM hata kama wakiweka gogo. La msingi, Chama kimoja kiachie mwenzake ili tuongeze nguvu yetu bungeni. CCM naijua vizuri sana na mikakati yake. Mimi niko ndani ya CCM ila kwa sasa nimeipiga kalamu ndo maana nawashauri muachiane jimbo hilo. Dr. Kafumu ni bosi wangu ana kashfa nyingi wizarani ambayo kama hatachaguliwa huenda akasimashwa kazi ili kurusu uchunguzi. Kuna the Big five wa CCM wameshaandaliwa kuja kumsaidia, na huenda pia wakatumia dola kutoa vitisho kwa wagombea na wananchi. So, be very careful. Aende mmoja.
 
Msema kweli mpenz wa mungu,
Mimi sitaki hiki chama cha mashehe na wavaa kanzu na balagashia na mgombea wao MALEOPARD(MACHUI) ashinde, lakini nimesikitika sana leo nikiwa ndani ya Basi nilipopita Igunga mjini. Kila kona imesheheni bendera za CUF, Benson Kigaila na wenzio ikiwa mnafanya mchezo huko na jimbo likaenda msikitini au mashehe wakawapita mtatafutia pa kujichimbia, hatutaki ujinga kabisa.

Nilikuja kampeni za busanda na mliwazidi CUF kwa kila kitu, kwa nini Igunga mjini yamejaa mabendera ya CUF na za CHADEMA ni za kuokoteza vijiwe viwili vitatu?
Yule Mtatiro bogus anawashinda nini hapo?
My take; KAMA MMESHINDWA KAZI KAMANDA ONDOKENI WAJE MAKAMANDA WENGINE!
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeees! HATUTAKI JIMBO LIENDE MSIKITINI.
Acha udini nyie ndiyo mnakifanya chadema kionekane chama cha kidini. cha msingi hapo ni uwezo wa mtu kuongoza na siyo maswala ya kanisa au msikiti.
 
Ninapenda kushauri wapenzi wangu wapinzani kuwa kaeni mjadiliane ili jimbo hilo tulichukue. Ninajua kuwa both CUF na CHADEMA hivi sasa wanakubalika kote nchini. Lakini hilli haitoshi kuiondoa CCM hata kama wakiweka gogo. La msingi, Chama kimoja kiachie mwenzake ili tuongeze nguvu yetu bungeni. CCM naijua vizuri sana na mikakati yake. Mimi niko ndani ya CCM ila kwa sasa nimeipiga kalamu ndo maana nawashauri muachiane jimbo hilo. Dr. Kafumu ni bosi wangu ana kashfa nyingi wizarani ambayo kama hatachaguliwa huenda akasimashwa kazi ili kurusu uchunguzi. Kuna the Big five wa CCM wameshaandaliwa kuja kumsaidia, na huenda pia wakatumia dola kutoa vitisho kwa wagombea na wananchi. So, be very careful. Aende mmoja.
Kama kila uchaguzi mtakuwa mnaachia wengine nini maana ya vyama vingi nini maana ya kuitwa chama na lini chama chako kitapata uzoefu, acha kila chama kiweke mgombea wake usiogope kushindwa ni somo zuri sana ili next uwe makini kuliko kukaa benchi kila uchaguzi, ni heri kubeba mayai kwenye kapu mbili tofauti kuliko kuyachanganya.
 
Hebu ngoja kidogo: umesema huyo mgombea wa CCM ni miongoni mwao wafanya maamuzi makubwa nchini kuhusiana na masuala tata za UMEME na MADINI ambako ndiko kulikoatamia kashfa na migogoro kede kede ya UFISADI nchini sio???????????????

Kama hivyo ndivyo swala lote zima lilivyo basi nadhani kila mpiga kura Igunga analo jibu sahihi kwani lengo kuu la uchaguzi huo mdogo ni KUNG'OA KABISA nyayo za UFISADI nchini hivyo HARUFU ZOZOTE zenye kuelekea kwenye historia ya ufisadi na au mtu ambaye kwa njia moja au nyingine ndiye aliyekua MCHONGA DILI huko ma-wizara kwa Rostam Aziz kuchota ovyo fedha zetu visivyo basi sote tujue kwamba huo mgombea wa CCM hakidhi hata kidogo dira zima ya huu uchaguzi mdogo Igunga.

Wana Jf Taarifa zilizonifikia sasahivi Vyama vya CCM na CDM vimemaliza zoezi la Upigaji kura za Maoni ktk jimbo la Igunga.

Matokeo na watu walioshinda kura za Maoni ni Mratibu wa Elimu wilaya ya Igunga Mwl Joseph Kashindye ameongoza ktk kura ndani ya Chadema.

Upande wa Chama cha mapinduzi ameshinda Dk Kafumo ambae ni kamishna wa Madini katika wizara ya Nishati na Madini.

Matarajio ni kuwa CCM watamsimamisha DK kafumo na CDM watamsimamisha Mwlimu Kashindye.

Naomba kuwasilisha.
 
nashauri wana igunga wachague mtu atakae wawakilisha vyema mjengoni na kuwasilisha matatizo yao,uzoefu wa majimbo mengi unaonyesha wapinzani wanawasilisha vyema matatizo ya wanajimbo kuliko chama tawala
 
Labda pengine CCM wapeleke Mzee wa kaya maana mnakumbuka hata wakati ule alikwenda huko na kuwaombea kura hao magamba na sasa kuna uchaguzi hivyo watu wa igunga wana nafasi nzuri sana katika kufanya uamuzi mzuri sana katika kufanya na kuona kuwa wanashinda CHADEMA na huyu kwa kuwa ni mwalimu ana nafasi nzuri sana katika kufanya vizuri!! Mungu saidia katika kufanya au kuchukua jimbo la Igunga
 
Back
Top Bottom