Matokeo ya Kura za Maoni CCM yanaonyesha kuwa Viongozi wa Chini wanapingana kimtazamo na Mwenyekiti wao Taifa

Binafsi nimeshtushwa sana na matokeo ya kura za maoni za CCM kuanzia Udiwani wa Kata hadi Ubunge. Kwa ujumla ni kuwa kila ambalo Mwenyekiti (Rais) aliloonyesha kulitaka au kulitamani Wajumbe wamelipinga kwa nguvu.

1. Wanachama wote wa vyama vya upinzani ambao hawana asili na CCM wameshindwa kura za maoni.

2. WanaCCM wengi ambao Rais amekuwa akionyesha kuwaunga mkono wameshindwa vibaya Mfano Makonda na Mwakyembe

3. WanaCCM ambao Rais ameonyesha kuwakosoa na kuwaponda hadharani wameshinda kwa kishindo mfano Mrisho Gambo na Ndugulile.

Hizi ni salamu nzito kwamba Mwenyekiti anafikiria tofauti na viongozi wa Chini na Wanachama! Angalia Kinana alivyoshangiliwa Dodoma kwenye mkutano Mkuu!

Kinana anasema hakuna Uchaguzi rahisi kwasababu kura ziko kwenye mioyo ya watu! Sasa Rais awe makini na jinsi atavyowahandle wapinzani wake kwenye uchaguzi Mkuu maana wananchi wanahasira ya kukosa Bunge Live na kuzuiliwa kwa shughuli za kisiasa.

Kesho Lissu anarudi kama ni kweli! Busara aliyoitumia Kikwete kwa Lowassa kumpa nafasi bila kutumia polisi ndio kwa mtazamo wangu inapaswa kutumika kesho.

Lissu alindwe aachwe aropoke atakavyo asaidiwe afanye kampeni zake ajibiwe kwa hoja! Nguvu yoyote inaweza kuleta matokeo mabaya sana kwa Rais. Watanzania hawapendi watu wababe kwa washindani wao!
Hakuna ukweli wa kisayansi na kiutafiti katika hoja ulizotoa naeleza kwa kifupi:-
1. Siyo wanachama wote wenye asili ya upinzani wameshidwa; Mbunge wa Ukerewe, Siha, Tarime vijijini na madiwani kibao wameshinda!
2. Rais alisema wazi hakuna aliyemtuma yeye , Makamu , Waziri Mkuu wala Katibu Mkuu! Pia Mhe.Rais anawaunga mkono wana CCM wote wakiwemo walioshinda Kama Mhe.Ndugai, Dr.tulia, Prof.Ndalichako, Kabuni, Dr.Mpango, Ummy Mwalimu nk. Nadhani walioshinda ni wengi kuliko walioshindwa!
3. Mhe. Rais yuko wazi amekuwa akiwakosoa na kuwaponda waziwazi watu wengi tu wanaokwenda kinyume na misingi, hata aliowatumbua wakiwemo walioshinda kama Charles Mwijage, Prof.Mhongo, Anne Kilango nk.
Kuliko kutugeuza kama chapati weka wazi kama wajumbe wamekupima na kuona hautoshi!
 
Wewe unakula ugoro wa wapi? Yaani nimnyime Magufuli kura yangu eti kisa Bunge halionyeshwi live na eti hakuna mikutano ya siasa...!!!
 
Binafsi nimeshtushwa sana na matokeo ya kura za maoni za CCM kuanzia Udiwani wa Kata hadi Ubunge. Kwa ujumla ni kuwa kila ambalo Mwenyekiti (Rais) aliloonyesha kulitaka au kulitamani Wajumbe wamelipinga kwa nguvu.

1. Wanachama wote wa vyama vya upinzani ambao hawana asili na CCM wameshindwa kura za maoni.

2. WanaCCM wengi ambao Rais amekuwa akionyesha kuwaunga mkono wameshindwa vibaya Mfano Makonda na Mwakyembe

3. WanaCCM ambao Rais ameonyesha kuwakosoa na kuwaponda hadharani wameshinda kwa kishindo mfano Mrisho Gambo na Ndugulile.

Hizi ni salamu nzito kwamba Mwenyekiti anafikiria tofauti na viongozi wa Chini na Wanachama! Angalia Kinana alivyoshangiliwa Dodoma kwenye mkutano Mkuu!

Kinana anasema hakuna Uchaguzi rahisi kwasababu kura ziko kwenye mioyo ya watu! Sasa Rais awe makini na jinsi atavyowahandle wapinzani wake kwenye uchaguzi Mkuu maana wananchi wanahasira ya kukosa Bunge Live na kuzuiliwa kwa shughuli za kisiasa.

Kesho Lissu anarudi kama ni kweli! Busara aliyoitumia Kikwete kwa Lowassa kumpa nafasi bila kutumia polisi ndio kwa mtazamo wangu inapaswa kutumika kesho.

Lissu alindwe aachwe aropoke atakavyo asaidiwe afanye kampeni zake ajibiwe kwa hoja! Nguvu yoyote inaweza kuleta matokeo mabaya sana kwa Rais. Watanzania hawapendi watu wababe kwa washindani wao!
Jambo ambalo nilikuwa nalifahamu zaidi ya miaka miwili iliyopita wewe umelifahamu leo! Siyo shida lakini nimekupa like na nakuunga mkono kuwa umewaza vyema. Watanzania wanataka uhalisia na siyo usanii. Hongera sana!
 
Binafsi nimeshtushwa sana na matokeo ya kura za maoni za CCM kuanzia Udiwani wa Kata hadi Ubunge. Kwa ujumla ni kuwa kila ambalo Mwenyekiti (Rais) aliloonyesha kulitaka au kulitamani Wajumbe wamelipinga kwa nguvu.

1. Wanachama wote wa vyama vya upinzani ambao hawana asili na CCM wameshindwa kura za maoni.

2. WanaCCM wengi ambao Rais amekuwa akionyesha kuwaunga mkono wameshindwa vibaya Mfano Makonda na Mwakyembe

3. WanaCCM ambao Rais ameonyesha kuwakosoa na kuwaponda hadharani wameshinda kwa kishindo mfano Mrisho Gambo na Ndugulile.

Hizi ni salamu nzito kwamba Mwenyekiti anafikiria tofauti na viongozi wa Chini na Wanachama! Angalia Kinana alivyoshangiliwa Dodoma kwenye mkutano Mkuu!

Kinana anasema hakuna Uchaguzi rahisi kwasababu kura ziko kwenye mioyo ya watu! Sasa Rais awe makini na jinsi atavyowahandle wapinzani wake kwenye uchaguzi Mkuu maana wananchi wanahasira ya kukosa Bunge Live na kuzuiliwa kwa shughuli za kisiasa.

Kesho Lissu anarudi kama ni kweli! Busara aliyoitumia Kikwete kwa Lowassa kumpa nafasi bila kutumia polisi ndio kwa mtazamo wangu inapaswa kutumika kesho.

Lissu alindwe aachwe aropoke atakavyo asaidiwe afanye kampeni zake ajibiwe kwa hoja! Nguvu yoyote inaweza kuleta matokeo mabaya sana kwa Rais. Watanzania hawapendi watu wababe kwa washindani wao!
Uchaguzi 2020 - Madiwani wa CHADEMA waliohamia CCM ,wapukutishwa Arusha

Jr
 
Wengine tunaweka akiba maoni yetu kwanza. Kuna mengi sana hatuoni na yanatoa taswira ya tulipotoka na tunapoenda.

Kama unaipenda hii nchi iweke kwenye maombi, achana na ushabiki wa vyama. Tuwe tayari kuilinda nchi yetu bila unafiki na kwa uzalendo mkuu.
Endelea kuwa Tomaso ila wenye akili tutaendelea kukuelimisha tu.
 
Binafsi nimeshtushwa sana na matokeo ya kura za maoni za CCM kuanzia Udiwani wa Kata hadi Ubunge. Kwa ujumla ni kuwa kila ambalo Mwenyekiti (Rais) aliloonyesha kulitaka au kulitamani Wajumbe wamelipinga kwa nguvu.

1. Wanachama wote wa vyama vya upinzani ambao hawana asili na CCM wameshindwa kura za maoni.

2. WanaCCM wengi ambao Rais amekuwa akionyesha kuwaunga mkono wameshindwa vibaya Mfano Makonda na Mwakyembe

3. WanaCCM ambao Rais ameonyesha kuwakosoa na kuwaponda hadharani wameshinda kwa kishindo mfano Mrisho Gambo na Ndugulile.

Hizi ni salamu nzito kwamba Mwenyekiti anafikiria tofauti na viongozi wa Chini na Wanachama! Angalia Kinana alivyoshangiliwa Dodoma kwenye mkutano Mkuu!

Kinana anasema hakuna Uchaguzi rahisi kwasababu kura ziko kwenye mioyo ya watu! Sasa Rais awe makini na jinsi atavyowahandle wapinzani wake kwenye uchaguzi Mkuu maana wananchi wanahasira ya kukosa Bunge Live na kuzuiliwa kwa shughuli za kisiasa.

Kesho Lissu anarudi kama ni kweli! Busara aliyoitumia Kikwete kwa Lowassa kumpa nafasi bila kutumia polisi ndio kwa mtazamo wangu inapaswa kutumika kesho.

Lissu alindwe aachwe aropoke atakavyo asaidiwe afanye kampeni zake ajibiwe kwa hoja! Nguvu yoyote inaweza kuleta matokeo mabaya sana kwa Rais. Watanzania hawapendi watu wababe kwa washindani wao!
Katika siku zote unazoandikaga toka uondoke CHADEMA angalau leo kidogo umejitahidi, na ni baada ya kugundua kua CCM ina wenyewe, sio nyie wakuja ndo akili imekukaa sawa.
 
Binafsi nimeshtushwa sana na matokeo ya kura za maoni za CCM kuanzia Udiwani wa Kata hadi Ubunge. Kwa ujumla ni kuwa kila ambalo Mwenyekiti (Rais) aliloonyesha kulitaka au kulitamani Wajumbe wamelipinga kwa nguvu.

1. Wanachama wote wa vyama vya upinzani ambao hawana asili na CCM wameshindwa kura za maoni.

2. WanaCCM wengi ambao Rais amekuwa akionyesha kuwaunga mkono wameshindwa vibaya Mfano Makonda na Mwakyembe

3. WanaCCM ambao Rais ameonyesha kuwakosoa na kuwaponda hadharani wameshinda kwa kishindo mfano Mrisho Gambo na Ndugulile.

Hizi ni salamu nzito kwamba Mwenyekiti anafikiria tofauti na viongozi wa Chini na Wanachama! Angalia Kinana alivyoshangiliwa Dodoma kwenye mkutano Mkuu!

Kinana anasema hakuna Uchaguzi rahisi kwasababu kura ziko kwenye mioyo ya watu! Sasa Rais awe makini na jinsi atavyowahandle wapinzani wake kwenye uchaguzi Mkuu maana wananchi wanahasira ya kukosa Bunge Live na kuzuiliwa kwa shughuli za kisiasa.

Kesho Lissu anarudi kama ni kweli! Busara aliyoitumia Kikwete kwa Lowassa kumpa nafasi bila kutumia polisi ndio kwa mtazamo wangu inapaswa kutumika kesho.

Lissu alindwe aachwe aropoke atakavyo asaidiwe afanye kampeni zake ajibiwe kwa hoja! Nguvu yoyote inaweza kuleta matokeo mabaya sana kwa Rais. Watanzania hawapendi watu wababe kwa washindani wao!
Kwa mifano hiyo machache unaona Wana-CCM wa the grassroots tu ndio wako kinyume na Rais,anyway sikupingi,ni mtizamo wako.Ila ukweli ni kwamba Wana-CCM hata wa ngazi za juu,wengi wako kinyume na Rais,wanajifanya tu kumpenda.Na sababu ni kwamba Magufuli ame-dismantle mfumo uliokuwepo wa mafisadi kukifadili chama na hivyo amekasirisha sana ma-cadre wa chama waliokuwa wanafaidika na fedha hizo.Hivi sasa ndani ya CCM njaa ni kubwa,na hii haifurahishi wachumia tumbo wengi wa CCM.Nia ya Magufuli ni kurudulisha chama kwa wafanyakazi na wakulima.
 
Hakuna ukweli k

Hakuna ukweli wa kisayansi na kiutafiti katika hoja ulizotoa naeleza kwa kifupi:-
1. Siyo wanachama wote wenye asili ya upinzani wameshidwa; Mbunge wa Ukerewe, Siha, Tarime vijijini na madiwani kibao wameshinda!
2. Rais alisema wazi hakuna aliyemtuma yeye , Makamu , Waziri Mkuu wala Katibu Mkuu! Pia Mhe.Rais anawaunga mkono wana CCM wote wakiwemo walioshinda Kama Mhe.Ndugai, Dr.tulia, Prof.Ndalichako, Kabuni, Dr.Mpango, Ummy Mwalimu nk. Nadhani walioshinda ni wengi kuliko walioshindwa!
3. Mhe. Rais yuko wazi amekuwa akiwakosoa na kuwaponda waziwazi watu wengi tu wanaokwenda kinyume na misingi, hata aliowatumbua wakiwemo walioshinda kama Charles Mwijage, Prof.Mhongo, Anne Kilango nk.
Kuliko kutugeuza kama chapati weka wazi kama wajumbe wamekupima na kuona hautoshi!
Uliowataja na 1. Wote walitoka CCM so asili yao ni huko!
 
Hiyo ni tungo tata, nijuavyo wote hao walikuwa wabunge wa CHADEMA! Pia ukisimama na hoja hiyo utaniambia Maalimu Seif, Prof.Lipumba, Augistino Mrema nk wote ni CCM, pia usiache kuniambia kuwa Tundu Lisu, Mabere Marando, Godbless Lema , Heche, nk ni NCCR. Generally wa Tanzania karibia wote kabla ya 1992 tulikuwa CCM ni suala la muda.
 
Binafsi nimeshtushwa sana na matokeo ya kura za maoni za CCM kuanzia Udiwani wa Kata hadi Ubunge. Kwa ujumla ni kuwa kila ambalo Mwenyekiti (Rais) aliloonyesha kulitaka au kulitamani Wajumbe wamelipinga kwa nguvu.

1. Wanachama wote wa vyama vya upinzani ambao hawana asili na CCM wameshindwa kura za maoni.

2. WanaCCM wengi ambao Rais amekuwa akionyesha kuwaunga mkono wameshindwa vibaya Mfano Makonda na Mwakyembe

3. WanaCCM ambao Rais ameonyesha kuwakosoa na kuwaponda hadharani wameshinda kwa kishindo mfano Mrisho Gambo na Ndugulile.

Hizi ni salamu nzito kwamba Mwenyekiti anafikiria tofauti na viongozi wa Chini na Wanachama! Angalia Kinana alivyoshangiliwa Dodoma kwenye mkutano Mkuu!

Kinana anasema hakuna Uchaguzi rahisi kwasababu kura ziko kwenye mioyo ya watu! Sasa Rais awe makini na jinsi atavyowahandle wapinzani wake kwenye uchaguzi Mkuu maana wananchi wanahasira ya kukosa Bunge Live na kuzuiliwa kwa shughuli za kisiasa.

Kesho Lissu anarudi kama ni kweli! Busara aliyoitumia Kikwete kwa Lowassa kumpa nafasi bila kutumia polisi ndio kwa mtazamo wangu inapaswa kutumika kesho.

Lissu alindwe aachwe aropoke atakavyo asaidiwe afanye kampeni zake ajibiwe kwa hoja! Nguvu yoyote inaweza kuleta matokeo mabaya sana kwa Rais. Watanzania hawapendi watu wababe kwa washindani wao!
Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa kinyume na watu wengi walivyofikiri, utakuwa mgumu sana kwa ccm.
 
Kushangiliwa kwa Kinana ni kwasababu kajishusha, kaomba msamaha na kuonesha utii kwa mwenyekiti kipenzi cha wanaccm

Ushindi na kushindwa kwa uliowataja iko namna. Sio rahisi kama unavyotaka kuaminisha watu. Wako washindi ambao hawakubaliki kwa raia wengi wa kawaida buko mitaani ambao ndio wapiga kura oktober. Jambo la kustaajabisha wamepitishwa na wajumbe wa kura za maoni za CCM. Uko mchezo mchafu pahala na chama kama kiko makini lazima kijiongeze.
 
Rais alisema hajamtuma mtu Basi mue mnaelewa
Binafsi nimeshtushwa sana na matokeo ya kura za maoni za CCM kuanzia Udiwani wa Kata hadi Ubunge. Kwa ujumla ni kuwa kila ambalo Mwenyekiti (Rais) aliloonyesha kulitaka au kulitamani Wajumbe wamelipinga kwa nguvu.

1. Wanachama wote wa vyama vya upinzani ambao hawana asili na CCM wameshindwa kura za maoni.

2. WanaCCM wengi ambao Rais amekuwa akionyesha kuwaunga mkono wameshindwa vibaya Mfano Makonda na Mwakyembe

3. WanaCCM ambao Rais ameonyesha kuwakosoa na kuwaponda hadharani wameshinda kwa kishindo mfano Mrisho Gambo na Ndugulile.

Hizi ni salamu nzito kwamba Mwenyekiti anafikiria tofauti na viongozi wa Chini na Wanachama! Angalia Kinana alivyoshangiliwa Dodoma kwenye mkutano Mkuu!

Kinana anasema hakuna Uchaguzi rahisi kwasababu kura ziko kwenye mioyo ya watu! Sasa Rais awe makini na jinsi atavyowahandle wapinzani wake kwenye uchaguzi Mkuu maana wananchi wanahasira ya kukosa Bunge Live na kuzuiliwa kwa shughuli za kisiasa.

Kesho Lissu anarudi kama ni kweli! Busara aliyoitumia Kikwete kwa Lowassa kumpa nafasi bila kutumia polisi ndio kwa mtazamo wangu inapaswa kutumika kesho.

Lissu alindwe aachwe aropoke atakavyo asaidiwe afanye kampeni zake ajibiwe kwa hoja! Nguvu yoyote inaweza kuleta matokeo mabaya sana kwa Rais. Watanzania hawapendi watu wababe kwa washindani wao!
 
Binafsi nimeshtushwa sana na matokeo ya kura za maoni za CCM kuanzia Udiwani wa Kata hadi Ubunge. Kwa ujumla ni kuwa kila ambalo Mwenyekiti (Rais) aliloonyesha kulitaka au kulitamani Wajumbe wamelipinga kwa nguvu.

1. Wanachama wote wa vyama vya upinzani ambao hawana asili na CCM wameshindwa kura za maoni.

2. WanaCCM wengi ambao Rais amekuwa akionyesha kuwaunga mkono wameshindwa vibaya Mfano Makonda na Mwakyembe

3. WanaCCM ambao Rais ameonyesha kuwakosoa na kuwaponda hadharani wameshinda kwa kishindo mfano Mrisho Gambo na Ndugulile.

Hizi ni salamu nzito kwamba Mwenyekiti anafikiria tofauti na viongozi wa Chini na Wanachama! Angalia Kinana alivyoshangiliwa Dodoma kwenye mkutano Mkuu!

Kinana anasema hakuna Uchaguzi rahisi kwasababu kura ziko kwenye mioyo ya watu! Sasa Rais awe makini na jinsi atavyowahandle wapinzani wake kwenye uchaguzi Mkuu maana wananchi wanahasira ya kukosa Bunge Live na kuzuiliwa kwa shughuli za kisiasa.

Kesho Lissu anarudi kama ni kweli! Busara aliyoitumia Kikwete kwa Lowassa kumpa nafasi bila kutumia polisi ndio kwa mtazamo wangu inapaswa kutumika kesho.

Lissu alindwe aachwe aropoke atakavyo asaidiwe afanye kampeni zake ajibiwe kwa hoja! Nguvu yoyote inaweza kuleta matokeo mabaya sana kwa Rais. Watanzania hawapendi watu wababe kwa washindani wao!

Hoja yako dhaifu sana unajua Kwanini. Wajumbe wa kisiasa wana system zao. Hawajawahi kusimama kwa nia ya eti anapendwa na Kikwete. JPM. Mbowe au Nini. Hoja yako ingekuwa na mantiki kama ungesubiria Mfano. Makonda kapigwa chini na wajumbe then Chama kinampitisha kwa amri ya JPM. Then Makonda anashindwa. Na kula zake zinakuwa ndogo sana kuliko idadi ya wanachama wa CCM wenye haki ya kupiga kula pale eneo Husika. Weka pembeni wengine wasio na vyama. Au wapinzani.

Wajumbe unaowasema Wewe Ni Wale ambao wameshatengenezwa. Na JPM hahusiki kabisa Hapo. Ndo mana akasema mambo wekeni hadharani. So mkuu. Una Shida binafsi na JPM. Na kuhusu Gambo. We hujui Siasa. Na kosa kubwa sana mnalofqnya Ni kumdharau JPM. As if hajui afanyalo. That is great mistake.
 
Back
Top Bottom