Matokeo ya Kura za Maoni CCM Kutobadilishwaaa

Nyauba

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
1,098
105
Vikao vya juu vya CCM vinatarajia kusikiliza rufaa mbalimbali za uchaguzi wake wa ndani wa madiwani na wabunge na kutokubadilisha matokeo mengi kama yanavyolalamikiwa.

habari za uhakika zinanasibu kuwa inatarajiwa kuwapitisha washindi wote waliopitishwaa kwenye matawi ili wananchama waweze kuwauungaa mkonooo kwenye uchaguzi mkuu.

Kiongozi mmoja wa juu wa CCM aliwashangaa walalamishi wa matokeo hayoo kusema kuwa rushwaa ilitumika zaidi kwenye kuwapatia washindi nafasi kwani kitendo hicho ni kukichafuaa chama. Amedai kuwa CCM hakuna rushwa ya uchaguzi ila kuna pongezi za ukarimuu kwa wanachama wake katika kushiriki kampeni za mgombea yeyotee...Nimechukizwaa sana na wanaodai kuangishwa kwa rushwaa katika uchaguzii huu wa ndani ya chama. je wangeshinda wao wangelalamika pia?????alidokeza kiongozi huyu.

my take. RUSHWA NI UHAI WA CCM HIVYO MWANACHAMA YEYOTE ANAYELALAMIKIA RUSHWA NDANI YA UCHAGUZI WA CHAMA NI MSALITI
 
Nimeipenda hii "...Pongezi za ukarimu kwa wanachama wake katika kushiriki kampeni za mgombea yeyote..." Kweli hawa ni majambazi
 
Sijaelewa thread hii. Mbona hili linakinzana na statement za Makamba na JK kuwa walitoa rushwa (ambao wanawajua wote) hawatapitishwa? hizi tetesi umezipata wapi?
 
.....Kiongozi mmoja wa juu wa CCM aliwashangaa walalamishi wa matokeo hayoo kusema kuwa rushwaa ilitumika zaidi kwenye kuwapatia washindi nafasi kwani kitendo hicho ni kukichafuaa chama. ...

Hivi ni lini ccm kiliwahi kuwa safi???????????
 
Mkuu nadhani huelewi fitna ndani ya CCM ipo kiwango gani mpaka unafikiria this way, it is just like a daydreaming!!!!!!!!!!!
 
Mimi nilifikiri huyu kiongozi angewapongeza hao waliofichua rushwa ndani ya chama wakati wa uchaguzi maana wanasaidia kusafisha chama! yeye analalamika na kutaka kuendelea kulinda utamaduni wao mbovu na mchafu wa rushwa! Hapa Kilombero Abdul Mteketa alikuwa namwaga mihela kama hana akili nzuri vile!
 
Rushwa kabla ya 2005 harafu ikawa Takrima wakati wa uchaguzi 2005 ikaja kuwa Rushwa baada ya uchaguzi, saizi imekuwa Shukrani kwa wanachama kwa Ukarimu, natarajia itaitwa tena rushwa baada ya uchaguzi. Jamani rushwa ni rushwa kwa njia yeyote ile watu wanapewa kidogo ili wawashawishi watu wawapigie kura. Watoe hizo pesa baada ya kuchaguliwa tuone matokeo yake.

Hapo wanaamini kuwa wakirudia mara nyingi huo msemo, watakuwa wameshinda. Nawatanzania wengi wasivyokuwa na uelewa wataendelea kuwapa. Tusubiri mwisho wake.

Anyway, hayo ni mambo ya chama tawala! tumezoea.
 
Vikao vya juu vya CCM vinatarajia kusikiliza rufaa mbalimbali za uchaguzi wake wa ndani wa madiwani na wabunge na kutokubadilisha matokeo mengi kama yanavyolalamikiwa.

habari za uhakika zinanasibu kuwa inatarajiwa kuwapitisha washindi wote waliopitishwaa kwenye matawi ili wananchama waweze kuwauungaa mkonooo kwenye uchaguzi mkuu.

my take. RUSHWA NI UHAI WA CCM HIVYO MWANACHAMA YEYOTE ANAYELALAMIKIA RUSHWA NDANI YA UCHAGUZI WA CHAMA NI MSALITI

HAPO KWA CCM ni mtihani maana wakipangua matokeo tu imekula kwao, wapigakura watawaadhibu sawasawa , na pia waliokosa kama hawataongea nao vema basi kuna harari kubwa sana wakazua balaa. Na hao walioingia pia itategemea!
 
Alafu mkumbuke kuna PCCB jamani when it comes to RUSHWA ingawa wako very selective
 
Msekwa amethibitisha kuwa WATAWAPA KIPAUMBELE WALIOSHINDA!!! Gazeti la uhuru leo 10/8/2010
 
msekwa amethibitisha kuwa watawapa kipaumbele walioshinda!!! Gazeti la uhuru leo 10/8/2010

magamba watazingatia ushindi toka matawini bila kujali hisia na harufu za rushwa kwasababu huo ndio mtaji wao wa kusurvive. mwaka wa kuvuna viongozi wa chama watu baada ya hapo ni 2020 kwahiyo wanachama mtulie, mkipitiwa na wala watoa rushwa chukueni kisha pigeni panapofaa. Wanaolalamikia matokeo hawajaijua ccm kimegeukaje hiki ni chama cha mapinduzi kinapindua kila kitu upside down mpo hapo wajomba; maanake kilichoko juu chini. Kwahiyo hata matakwa wananchi na wanachaama wake yanaweza pinduliwa bila kujali hisia zao. Mnaoendelea na ccm tulieni vizuri msikilizie uchungu wa sindano za ufisadi. Kubalinmi yaishe ccm sio mama wala baba yangu
 
Back
Top Bottom