Matokeo ya krismasi yametoka leo

buzbud

Member
Oct 7, 2013
40
17
MATOKEO YA KRISMASI YAMETOKA LEO
:NDOA ZITAKAZOVUNJIKA=
24% FUMANIZI=48% WATU WATAKAOZINI=97% VITANDA VITAKAVYO VUNJIKA=18% MAAMBUKIZI YA HIV=96% WATAKAOPATA WAPENZI WAPYA=79% MAHUDHURIO YA GUEST=98% TUTAKAOKAA TU NYUMBANI =2% JE' wewe utakuwa..kundi.. gani? Nitumie hii txt whtsspp
 
Total % ni ngapi mkuu?
 
mbona mimi niko nyumbani, hali ni poa tu. Kwenye huo utafiti wako, sample ikoje, na hiyo sample uliipatapataje? je ulifanya utafiti wa awali kabla ya huu?
 
Back
Top Bottom