Elections 2010 Matokeo ya Kigoma

Habari zinachanganya, nlisikia baada ya kurudia kuhesabu kigoma mjini ccm akashnda..... Kwa sasa mambo yakoje? Numbers do matter
 
Zitto again? anasimamia recount? chadema ijiandae kulipoteza hilo jimbo coz Zitto kashachukua mshiko kwa serukamba... prove me wrong...
 
Back
Top Bottom