Elections 2010 Matokeo ya Kigoma

Radi

Member
May 22, 2010
94
16
Taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba kulikuwa na recount
kabla ya hapo mbunge alikuwa Ally(Chadema), kwa ushindi wa kura 450
baada ya recount Mbungev wakachakachua matokeo ikawa CCM kwa tofauti ya kura 1000 ila wanachi wamegoma matokeo , na wamepigwa mabomu ya machozi.Je kwa njia hii tutafika kweli???:sad:
 
kwa ccm, ukikubali recount ndio imetoka hivyo
 
kwanini warudie kuhesabu, kunasababu za msingi kweli? iweje ccm washindwe kwa 450 halafu warudie washinde kwa 1000?
 
Taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba kulikuwa na recount...

TAARIFA umezipata wapi? hebu muwe mnaweka VYANZO vya taarifa zenu kuepuka kuwekana roho juu. Taarifa HII HII imekuwa inazunguka humu tangu saa nane mchana
 
Kosa wanalofanya watanzania ni kumwamini Kivuitu Kiravu kutenda haki. Hawa ni mawakala wa mafisadi waliojazwa kwenye taasisi zetu. Wanapaswa kutimuliwa kwenye ofisi zetu maana si za mabwana zao.
 
Waungwana kwa taarifa nilizopata sasa hivi mbuge wa Chadema alikua kashinda kwa zaidi ya kura 450 ila baada ya recount CCM wanachakachukua matokeo na kuumpa mgombea wa ccm ushindi kwa kura 100 zaidi.
Wananchi hawajakubali nasikia moto una waka.na Nimesikia Kigoma mabomu ya kutoa machozi yalikuwa yanatupwa na polisi hovyo hovyo ili kutawanya watu.:sad:
 
Hakuna kisingizio kingine cha kushindwa ila KUCHAKACHUA tu???
......it is becoming monotonous..
 
Hivi sasa niko kigoma mjini na matokeo ni kama ifuatavyo:

Kigoma mjini : Chadema wameongoza kwa kura 400, serukamba wa ccm kagoma kusaini matokeo so wameomba recount na sasa kura zinahesabiwa, zitto yupo hapa kuweka mambo sawa. Ila so far chadema imeongoza.

Kigoma kusini : Kafulila wa nccr kashinda tena kwa kishindo

kigoma kaskazini: Zitto kapeta

majimbo yote ya kasulu nccr imeongoza akiwepo mwanamama mmoja

kibondo mjini (muhambwe): Nccr imechukua tena ni kijana mdogo sana anaitwa felix mkosamali

kibondo vijijini (buyungu): Chadema anaongoza, japo kura bado zinahesabiwa.

So mpaka sasa kama mambo yakienda vizuri kwenye jimbo la buyungu na upinzani wakachukua basi kigoma yote itakuwa ya upinzani

weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...............
 
siamini.

(Lau Masha na Buriani wamenipa somo la kutosha sana kuhusu uzushi na uvumi)
 
Hivi sasa niko kigoma mjini na matokeo ni kama ifuatavyo:

Kigoma mjini : Chadema wameongoza kwa kura 400, serukamba wa ccm kagoma kusaini matokeo so wameomba recount na sasa kura zinahesabiwa, zitto yupo hapa kuweka mambo sawa. Ila so far chadema imeongoza.

Kigoma kusini : Kafulila wa nccr kashinda tena kwa kishindo

kigoma kaskazini: Zitto kapeta

majimbo yote ya kasulu nccr imeongoza akiwepo mwanamama mmoja

kibondo mjini (muhambwe): Nccr imechukua tena ni kijana mdogo sana anaitwa felix mkosamali

kibondo vijijini (buyungu): Chadema anaongoza, japo kura bado zinahesabiwa.

So mpaka sasa kama mambo yakienda vizuri kwenye jimbo la buyungu na upinzani wakachukua basi kigoma yote itakuwa ya upinzani

weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...............

Hizi bado ni tetesi wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo hayo wakitangaza tupe taarifa
 
DUhhhhh
Km kweli jamani basi CHADEMA NA WAPINZANI WENZETU tuko Fuluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Lete mpyaaaaaaaaaaaaaa
 
tafadhali msitupatie furaha bandia. tupatieni kitu iliyokamilika. matokeo yakitangazwa rasmi mtuhabarishe jamani.
 
Tunataka kusikia kutoka kwa msimamizi wa uchaguzi sio vyanzo vya mashaka tu
 
Back
Top Bottom