Matokeo ya Kidatu cha Sita (Form VI) na Result Slip Unapata hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya Kidatu cha Sita (Form VI) na Result Slip Unapata hapa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mpendanchi-2, May 14, 2009.

 1. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Unaweza kupata Result Slip yako hapa ya Form VI, 2009

  Just ingiza number yako kama ilivyoelekezwa hapo utapata Slip yako Printable to Hard copy or to pdf na inakubaliwa kwenye applications za vyuo vingi tu kwa sasa. Ukiwa na cloured printer huna haja ya kuhangaika kwenda tena posta!!!!


  National Examinations Council of Tanzania
   
  Last edited: May 14, 2009
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2009
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  ministry of education is very stable,and make all of us to get a real education;although there are few mistake in national examination like linking of examination.they have to correct.also have to make sure to find up background of their international student like us.thanks
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Mkuu tunangojea ya mwaka huu maana mimi nina mwanangu kamaliza darasa ka 12 nasubiri kwa hamu matokeo yake ingawa nipo Ughaibuni najuwa utatowa wewe result zake asante mkuu
   
 4. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hivi matokeo ya kidato cha nne yatatolewa lini? Naona matangazo ya kukaribisha form five yamepamba moto kwenye vyombo vya habari, au hayawahusu waliomaliza mwaka 2009? Inanitia hofu maana sio vyepesi kununua form ya kuombe form V wakati matokeo hayapo na hujui ni combination gani imekubali uzuri zaidi kwa mtoto.

  Leka
   
 5. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii kitu haiwezi kuleta result slip ya mwaka mwingine zaidi ya 2009????

   
 6. s

  simon mkamato New Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  simon mussa
   
 7. H

  HUMPHREY J New Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nini?
   
Loading...