Matokeo ya kidato cha sita yatangazwa.

government schls lazima wafeli kwani mitihani ambayo ndo reinforcement ya wanafunzi
kusoma imefutwa, unategemea nini. what goes around comes around. tusitafutane
uchawi, education is not tilalila.
 
Haya matokeo vijana wameonesha kufanya vyema kulinganisha na yale ya CSEE 2010.. I hope hakuna mchezo hapo ili kupunguza malalamiko yanayotolewa juu ya shule za Serikali kufanya vibaya kila mwaka... (sijui kwa nini, lakini nahisi kuwa haya matokeo yamepikwa kisiasa!)
 
Back
Top Bottom