instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,381
- 14,186
We nawe umeangalia sayansi Tu Kwanza kuna wawili kamugisha na benius.Hapa ni wanafunz kumi bora
Mhaya ni mmoja tu lkn Chagas ni 2 na mpare mmoja kilimanjaro ni ngome ya wasomi karne na karne
@instanbulView attachment 1151491
Vip kuhusu arts humuoni Paula lujwangana,elibariki baliyanga
Biashara je
We majina ya nshomile huyafahamu ?
Kwanza umesahau Antony mulokozi TO mwaka Jana form six?