Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

Siku ya Leo bhana!Ni nzuri pale ambapo ndugu yako kaongoza kitaifa katika mchepuo husika nawe umepangiwa shule ya kufundisha na serikali!Mpitie tovuti ya tamisemi mjiangalie majina yenu Kama yapo!!
 
Hapa ni wanafunz kumi bora
Mhaya ni mmoja tu lkn Chagas ni 2 na mpare mmoja kilimanjaro ni ngome ya wasomi karne na karne
@instanbulView attachment 1151491
We nawe umeangalia sayansi Tu Kwanza kuna wawili kamugisha na benius.

Vip kuhusu arts humuoni Paula lujwangana,elibariki baliyanga

Biashara je

We majina ya nshomile huyafahamu ?

Kwanza umesahau Antony mulokozi TO mwaka Jana form six?
 
Mkuu, Uzuri, kweny Vyuo wanaruhusu kuomba mpaka "Machaguo Manne" (refer MUHAS)

Mwambie ajaze Medicine,Pharmacy,Lab,Dentist,Nursing.

Hawezi kosa.
Ye anawaza medicine doctor tu

Hafu kingine muhas tushakitoa je vyuo vingine hawezi pata
 
Kwani udom mwaka jana mwisho walchukua ngapi
Na je hicho cha mbeya mwisho walchukua ngapi
Vya private si rahisi kupata au ,?
Udom waliokuwa na bahati zao 1.7 walipata, hapo private mbona anakwenda bila shida tatizo ada tu.
Ila kuna kcmc,st john ada zao nafuu.
Ila asiogope aombe kote kote muhas, udom, udsm, kcmc, st john hawezi jua bahati yake.
Kama pesa ipo aombe pia kairuki, st Joseph, bugando mambo yatamnyookea tuu😞
 
Udom waliokuwa na bahati zao 1.7 walipata, hapo private mbona anakwenda bila shida tatizo ada tu.
Ila kuna kcmc,st john ada zao nafuu.
Ila asiogope aombe kote kote muhas, udom, udsm, kcmc, st john hawezi jua bahati yake.
Kama pesa ipo aombe pia kairuki, st Joseph, bugando mambo yatamnyookea tuu
Kwa hiyo udom hakuna mwenye one ya nane aliyepata

Vipi kuhusu udsm , yaan mi naulizia hivyo viwili kama kuna mwenye one ya nane aliyepata !
 
Sina hakika ila nahisi udsm zipo nyingi, maana udsm walianza kudahili ilikuwa ni raundi ya nne kipindi watu wengi walikuwa tayari wameshadahiliwa vyuo tofauti tofauti, kwahiyo walichokuwa wanafanya ilikuwa kukusanya wanafunzi wa PCB ambao awali walikosa vyuo.. Nakumbuka walitoa tangazo kabisa kusisitiza watu wa pcb ku apply sasa kwa mantiki hiyo nahisi waliokuwa na hizo 1.8 walipata nafasi ingawa sina hakika
Hapo muhimu ajaribu bahati mbona kama bahati yake ipo hata muhas anaweza pata, sikuhizi bahati tu
 
So bahati ndo ina matter huko tz duuh hatari sana

Nafikiria uwezekano wa yeye kupata full funded scholarship huku

Ila naogopa anaweza badilika tabia
 
Hii elimu yetu hii.

Yaani BAM na G/ S zilikuwaga ni S na F tu.

Leo hii zinakuwa na grades A- F , bado mitoto inapata D- F ya G/S ???? Pambavu kabisa.

Ukipata kuanzia D- F ya G/S kama ni mwanangu nakutoa ZAWADi au nakuuza kabisa.

Ndio maana inaitwa General Studies- it is all about General knowledge. Huitaji kufundishwa wala kujiandaa na somo hili. Unaingia tu kujibu mtihani.

Mtu unapata D-F ya G/S baada ya kuwa shuleni miaka 13 maana yake hujitambui.

Nafikiri NECTA waweke na Grade A na F tu kwa GS na once you get F tayari ni Div 3/4.

Unapata D-F ya GS bado unataka uajiriwe wakati General knowledge huna.
 
Jee shule za serikali zimefua dafu dhidi ya zile za private?
Nafasi ya shule za Geita ikoje?
Tunalo tatizo kubwa kwenye elimu yetu, wanafunzi waliomaliza la saba mwaka jana walikuwa 943,318 na waliofaulu form six 2019 wako 79,770 hivyo basi watoto wanaomaliza la saba ni chini ya 8% ndio hufaulu form six, kama ni kweli tusitegemee kuendelea hata siku moja, tuwaache tu watoto wetu wachunge ngombe na kuolewa.
 
Hii elimu yetu hii.

Yaani BAM na G/ S zilikuwaga ni S na F tu.

Leo hii zinakuwa na grades A- F , bado mitoto inapata D- F ya G/S ???? Pambavu kabisa.

Ukipata kuanzia D- F ya G/S kama ni mwanangu nakutoa ZAWADi au nakuuza kabisa.

Ndio maana inaitwa General Studies- it is all about General knowledge. Huitaji kufundishwa wala kujiandaa na somo hili. Unaingia tu kujibu mtihani.

Mtu unapata D-F ya G/S baada ya kuwa shuleni miaka 13 maana yake hujitambui.

Nafikiri NECTA waweke na Grade A na F tu kwa GS na once you get F tayari ni Div 3/4.

Unapata D-F ya GS bado unataka uajiriwe wakati General knowledge huna.

Mtihani wa GS ushawahi fanya au unaongea tuu
 
We nawe umeangalia sayansi Tu Kwanza kuna wawili kamugisha na benius.

Vip kuhusu arts humuoni Paula lujwangana,elibariki baliyanga

Biashara je

We majina ya nshomile huyafahamu ?

Kwanza umesahau Antony mulokozi TO mwaka Jana form six?
Fuatilia ma T.O wa miaka 5 nyuma alafu uniletee summary hapa
All in all Kilimanjaro Ni ngome ya elimu tangu Uhuru
 
Back
Top Bottom