Jumla ya wanafunzi 324,068 wa kidato cha pili sawa na asilimia 89.12 ya wanafunzi 363, 666 waliofanya mitihani ya upimaji mwaka jana wamefaulu kuendelea na masomo ya kidato cha tatu.
Hao ambao hata kusoma na kuandika hawajui,there is nothing to celebrate.Mama Ndalichako mzigo uliopewa ni mzito mno.Waalimu wanaofundisha hesabu, hesabu hawajui,wanaofundisha Kingereza, Kingereza hawajui nk.nk.Waalimu suruali wanavalia matakoni,kwa ujumla nidhamu ni zero.Mitaala hovyo kabisa,waalimu wakuu wanapelekewa hela hata hesabu hawajui,kwa ufupi hali ni shaghala baghala,Daktari utaweza kurudisha hii hali mbaya kabisa to normality?Time will tell.
Jumla ya wanafunzi 324,068 wa kidato cha pili sawa na asilimia 89.12 ya wanafunzi 363, 666 waliofanya mitihani ya upimaji mwaka jana wamefaulu kuendelea na masomo ya kidato cha tatu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.