Matokeo ya kidato cha nne ni mgomo baridi wa walimu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya kidato cha nne ni mgomo baridi wa walimu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by elimukwanza, Jan 28, 2011.

 1. e

  elimukwanza Senior Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tunakumbuka kuwa walimu walisitisha mgomo wao na kueleza kuwa sasa wataendesha mgomo baridi je ndiyo matokeo yake sasa? walimu wasikilizwe wasipuuzwe.
   
 2. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Kuna haja ya kuigeukia sekta ya elimu sasa maana hali inazidi kuwa mbaya...kiwango cha ufaulu kushuka kwa zaidi ya 20percent!
   
 3. k

  kikule Senior Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  bado tupo kwenye mgomo hadi hapo serikali yote kuanzia jk mpaka secretari wake wang'oke madarakani kwani hata mishahara hatujalipwa eti hazina hawana hela bado tunadai malimbikizo ya mishahara yetu na serikali hiyohiyo inatajka kulipa dowans haraka na sisi mgomo baridi hauishi ila tunazalisha bomu ambalo ni wahitimu wenye division IV na ziro ambao ni zaidi ya 70% ambao hawana uwezo wa kwenda kusoma popote kwa kijilipia isipokuwa kuingia barabarani na kuwaondoa walioanzisha shule za kata ambao hawajali maslahi ya wanaowaandaa na kuangalia majengo tu,JE WASOMI WA TANZANIA WATAZALISHWA KWA KUONGEZA IDADI YA MAJENGO?:clap2::A S thumbs_down:
   
Loading...