makwimoge
JF-Expert Member
- Apr 14, 2011
- 298
- 42
Matokeo ndani ya saa 24
Kwa upande wake, NEC imesema itafanya kila linalowezekana kukata mzizi wa fitina kwa kumtangaza mshindi usiku wa kuamkia Jumatatu, Oktoba 3, mwaka huu.Profesa Chaliga alisema hatua hiyo inalenga kuepusha vurugu au kuwapo kwa vitendo vya uvunjifu wa amani ambavyo husababishwa na matokeo kuchelewa kutangazwa.
Profesa Chaliga aliwaambia waandishi wa habari kwamba ikiwa hakutakuwa na mvutano katika chumba cha kujumlishia kura, hakutakuwa na sababu za kuchelewa kutangaza matokeo.
Tunaamini kwamba kila kitu kitakwenda sawa na kama hivyo ndivyo, basi hakutakuwa na sababu ya kuchelewesha kutangaza matokeo... na kila uchaguzi mdogo uliofanyika, imethibitika kwamba matokeo yanaweza kutangazwa mapema, alisema.
Kauli hiyo iliungwa mkono na Magayane ambaye alisema: Tutajitahidi na ikiwezekana tutangaze matokeo ya uchaguzi usiku huohuo.
Maoni;
Kuna sababu moja tu ya kuchelewasha matokeo;CCM kukataa kushindwa