matokeo ya form 4 2011...katibu mkuu balaza la mitihani amelidanganya taifa kuhusu ufaulu

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
nimekuwa nikifuatilia matokeo ya matokeo ya shule nyingi lakini cha kushangaza siku matokeo yanatangazwa katibu mkuu balaza la mitihani alisema kiwango cha kufaulu kimeongezeka ukilinganisha na mwaka jana na mwaka juzi.........hivi tuweni wa kweli mimi sijaona kiwango chochote kimeongezeka mimi naona ni matokeo ni mabaya kuliko miaka yote........
 
Kwel bwana kwa kadri miaka inavyozd songa mbele ndvyo matokeo ya form iv yanazd kuwa mabaya sana tena sana.
 
mi naona tu waliopata zerooooooooos wanaongezeka hasa katika hizo shule za kata, aka yeboyebo, tusibishane kwa hili, kama vipi nenda site yao necta au moe.......ni masikitiko, ni aibu kwa taifa. Propaganda tu shule zimeongezeka, lakini zinatoa nini? Zerooooooooos na four chache.... Pole kwa taifa.
 
Kutokana na data za haki elimu kwa njia ya mlimani tv waliofauli divI-divIII ni taribani 9% ambapo mwaka jana ilikuwa 12%. Hatutafika kamwe. Wengi wa watanzania wanaosoma sasa tunapewa bora elimu ili tuweze kutawaliwa zaidi na fikra duni zetu. Hili ni bomu litakuja kulipuka tu.
 
Kwel bwana kwa kadri miaka inavyozd songa mbele ndvyo matokeo ya form iv yanazd kuwa mabaya sana tena sana.

ukifeli wewe, wengine wamefaulu. Shule ya kata yetu, mwaka jana walikuwa na div iii=1, mwaka huu zimekuwa div iii=7. matokeo yamepanda au yameshuka?
 
nimekuwa nikifuatilia matokeo ya matokeo ya shule nyingi lakini cha kushangaza siku matokeo yanatangazwa katibu mkuu balaza la mitihani alisema kiwango cha kufaulu kimeongezeka ukilinganisha na mwaka jana na mwaka juzi.........hivi tuweni wa kweli mimi sijaona kiwango chochote kimeongezeka mimi naona ni matokeo ni mabaya kuliko miaka yote........

Unaonaje ukawa wewe Katibu wa Necta ili utupe taarifa sahihi!
 
Back
Top Bottom