Matokeo ya f4, kuutikisa muungano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya f4, kuutikisa muungano?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by sisi kwa sisi, Feb 9, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. sisi kwa sisi

  sisi kwa sisi Senior Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mchezo wenyewe ni huu.
  Shule ya Hamamni na Haile salas ,Bembela zipo pua na Mdomo.Ukisema yeye anakusikia.
  Shule hizi mbili hazipugui wanafunzi 500 kila moja.
  Hamamni asilimia 90 wamezuiwa matokeo kwa kisingio cha kuiba mtihani.
  Haile hakuna aliezuliwa hata mmoja isipokuwa zimetawala F na D.
  Swala la kujiuliza.
  Hawa kutwa wapo pamoja, wanafanya discusion pamoja na cellular phone zinazofanana.
  kama mtihani umevuja siamini waupate wa Hamamni tu.
  Sawa na Jangombe na Kidoko chekundu, ni shule pua na mdomo. Moja with held imeongaza nyengine F na D zimeongeza hakuna With held.

  ukiangalia hata watoto wanaoishi nyumba moja matokeo yao unaweza ukacheka, mmoja with held mmoja ana F .Kama wamelala nao mtihani ni vigumu haya kutokea.
  SHule nyingi Zanzibar Zimeingia kyk hilo.
  Hapa sio bure
   
 2. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  kwahyo unataka kusema nn?
   
 3. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hizo unazotoa ni sababu za kijinga kabisa! hope utoto bado unakusumbua.
   
 4. N

  Ninliy Senior Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si bure ipo namna au wamekasirika kisa cha kuongezewa eneo la bahari na wazanzibari kulitoa swala la mafuta kwenye muungano?basi suluhisho ni kuvunja muungano ili tupumzike.heh!muungano mashaka matupu.
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mh kaharuhu ka udini kanaanza hapa
   
 6. t

  thengoshahimself Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hebu acheni upuuuuuuz,issue ka hyo huwez kuihusisha na uzanzibar na utanganyika, hv huyu aliyeazish hich kitu ni muislam eeenh.? yan wazanzibar na waislam wakwanza kulalamika bila msingi kumbe wao ndo wanafaidika, piga chini muungano, piga chini toc na mahakama ya kadhi:ballchain:
   
 7. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wazenji wengi wamefeli sijui kwa nini
   
 8. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Oyaa toa udini hapa,hao wanalalamika ni wazanzibar sio kisa waislam,mbona sisi waislam wa bara tupo kimya,jibu hoja bila kuingiza udini hapa,

  Na nyinyi wazenj mmezidi kulalamika sana,nyie sinchi kwanini msisahihishe mitihani yenu wenyewe?mwanikera sana kulalama tu,tukiwaambia vunjeni muungano mnajishaua tu,
   
 9. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  someni hacha sababu zisizo na mashiko..kwani mkijitenga mtafaulu kuliko nani? Alla!
   
 10. L

  Lweye Senior Member

  #10
  Feb 10, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Unapoamua kuanzisha uzi hakikisha umefanya utafiti wa kutosha. Sababu za kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi sio kuvuja kwa mitihani ni udanganyifu katika vyumba vya mitihani. Na hii ndio maana unakuta hata watoto wanaoishi nyumba moja lakini wanasoma shule tofauti mmoja anafutiwa na mwingine anapata matokeo yake kwa sababu udanganyifu umetokea ndani ya chumba cha mtihani.

  Sasa mkuu ulitegemea lile darasa zima lililoandika "Badala ya Cheque andika check" kwenye mtihani nao wapewe matokeo tu ili kulinda muungano. Inawezekana na wewe ni mmoja kati ya hao waanga ushauri wangu kwako ni kuwa jipange upya kwa hiyo miaka mitatu mliyopewa kabla ya kurudia paper au kama namna gani piga mbizi!
   
 11. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Jibu liko wazi, ni kwamba wameweka umuhimu kwenye mafundisho ya mtume kuliko ya dunia. Waislamu wote wanafundishwa na mtume wao kuwa dunia sio duara, sasa likija swali la Geography la kutoa evidence kuwa dunia ni duara unafikiri wataandika nini wakati maneno ya mtume ndio sahihi kwao!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 12. B

  Bwanamdogo Member

  #12
  Feb 10, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli mkuu hebu wasome waone kama hawatafaulu waache kuleta sababu za kijinga na ufinyu wa fikra
   
 13. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Fanya utafiti kabla ya kuweka upupu wako hapa wewe uliambiwa kuwa udanganyifu ni kuvuja kwa mtihani tu?? Hao mamluki mnaowakodisha kuwafanyia mtihani mnadhani hamtabainika?? Mtu mmoja ana miandiko 7 katika masomo 7 aliyofanya haddi muandiko wa kike kwenye karatasi za wanaume?? Acheni kuchakachua elimu someni hakuna njia ya mkato.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...