Matokeo ya darasa la saba yametangazwa leo 1/12/2022

Hiyo ndo basi tena. Labda afanye mtihani kama private candidate
Je wanaweza mruhusu mtoto akaanza masomo ya kidato cha kwanza Hlf akafanya marudio ya mtihani wa darasa la Saba? Maana kupoteza mwaka mzima kwa mtoto kukaa nyumbani ni adhabu kubwa sana
 
Je wanaweza mruhusu mtoto akaanza masomo ya kidato cha kwanza Hlf akafanya marudio ya mtihani wa darasa la Saba? Maana kupoteza mwaka mzima kwa mtoto kukaa nyumbani ni adhabu kubwa sana!!
Sasa ushaanza form1 unarudi kufanya mtihani wa lasaba wanini?
 
Back
Top Bottom