Matokeo ya darasa la saba: Wanasiasa wanacheza na elimu yetu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya darasa la saba: Wanasiasa wanacheza na elimu yetu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by johnmashilatu, Dec 15, 2011.

 1. j

  johnmashilatu JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Wakuu JF

  Hawa wanasiasa wetu wataendelea kucheza na akili ztu hadi lini huku ssisi tukiendelea kubaki kimya bila kuchukua hatua kutokana na janga kubwa linaloendelea kutengenzwa na wanasiasa hawa


  Naibu waziri ametoa matokeo ya darasa la saba mwaka 2011 huku akitoa matamshi ya kujichanganya na wakati mwingine labda waandishi wangekuwa wanatusaidia sisi wadanyayika kuyaelewa haya mambo kwa undani

  gazeti la majira leo limeandika: Ufaulu waongezeka: asilimia 90.1 wachaguliwa kwenda sekondari.

  wakat itukiambiwa kuwa kati ya wanafunzi 983,545 waliofaya mtihani huo ni wanafunzi laki tano na elfu 67 ndio waliofaulu sawa na asilimia 58.28 sasa hwa asilimia 90.1 wanatoka wapi

  lakini pia kuna hili suala la waliofaulu kutakiwa kufanya mithani ili kubaini kama kwenye wanajua kusoma, kuandika na kuhesabu!. kama lengo ni hilo kwanini tulifanya mitihani hiyo?, gharama hizo atalipia nani?

  Na huyu mzazi ataweza kujiandaa vipi kumpelekea shule mtoto wake wakati hana uhakika kama kweli atabaki shuleni baadaya mchujo wa kujua kusomana kuandika?, kwanini makosa yenu wanasiasa mnayepeleka kw amtu w akawaida, ni nani aliyefuta mtihani wa darasa la nne ni wazazi au wanasiasa wetu?

  katika mitihani iliyokuwa ikiwataka watahiniwa kuchagua majibu unategemea nini kama sio kupata majibu yanayofanana kwa kiasi kikubwa?

  lakini pia tunambiwa hawa wengine "waliofaulu" watakwenda sekondari, hawa wengine kama laki nne hivi wanasiasa wetu wamendaa mazingira gani kuhakikisha kuwa wana kwenda shule?, Je wale waliosema kuwa elimu inapaswa kuwa ya lazima kuanzia shule ya awali hadi kidato cha nne walikuwa wanakosea?
  i
   
 2. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Asilimia 90.1 ya waliofaulu na si wanafunzi wote
   
 3. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 10,047
  Likes Received: 10,226
  Trophy Points: 280
  Kwa taarifa yako sasa hv viongozi wa CCM wanataka shule zote za serekali wanafunzi wafeli ili iwe rahisi kutawaliwa na watoto wa viongozi kwani wote wanasoma shule za kimataifa, wamegundua wanaowasumbua sasa hv ni wasomi, wanaohoji na kufahamu ukweli wa mambo ni wasomi. Viongozi wa CCM hawahitaji wasomi wa kitanzania maana kazi zote za kitaalamu wataleta wachina watakaowapa 10%, wakiugua watakwenda India, bungeni watajiongezea posho bila kujali walalahoi. Watanzania walalahoi wanatakiwa wawe ni wafagizi wa ndani tu na kubeba mizigo. Na tukisema tutawatoa kwa kura haiwezekani maana watatumia jeshi baada ya kuchakachua. Tunatakiwa tusimame kidete na tuingie mtaani kuwachomoa tuanze upya kwani tukibaki tunaimba amani na wanafunzi wanafanya hesabu za kuchagua darasani unategemea makandarasi hapo au uozo, kwa mtaji huo hatutoboi. Tunaongozwa na watu wenye dhamira mbovu huku tumekaa kimya.
   
 4. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  hapa sasa ndipo mtakapo jua kuwa ni Si Ha Sa

  Kulipo anzishwa shule za kata na aliyekuwa muhamasishaji mkuu so called E. Lowassa na alikuwa anajitapata sana ila hakujua kuwa ni wapi alipokuwa amekosea katika mchakato huo wote wa kuhamasisha shule za kata na kwa singizio cha Sera za CCM.

  Watanzania tumepotoka sana kuna issue zingine hazitakiwi kuwa kwenye sera za vyama swala kama "ELIMI" shule, "HOSPITALI" "MIUNDOMBINU" kujengwa hizi ni za kitaifa sasa sitegemei vyama kuiba issue za kwenye MUSTAKABALI wa TAIFA na kuzifanya ndio sera zao hapana wao ni kutuambia wataboresha/ kusimamia/kutekelezaji vipi na vinjonjo gani wataongezea period.

  Nchi inakwenda mahali sipo sasa sielewi swala Watu,Sera safi na viongozi bora inatekelezwaje kama nguzo kuu kama msingi wa ELIMU ndio huo mfumo wake mbovu hauna mustakali wa kuuendesha maana kila aingiae madarakani anatungu sera zake kuna kuwa na sera kibao za kisiasa za serikali na za watu kwa manufaa yao elimu kweli hapo itakwenda au tunabomoa.

  My Take;

  Time boom inayo kuja hapa ni kutokuwepo kwa ajila na ndg yangu Lowassa analisema sana hili lakini hakujua naye alikuwa mshiriki mkuu katika swala la kusimamia swala la Elimu esp shule za kata hawakuboresha chochote they had very embarrassing
  future plan for the next generation now anajifanya nae anasema swala la Unemployeement? oooooh for GOD SAKE EL keep you breath.

  MUSTAKABALI WA TAIFA UKIWEPO NDIO TUTAKWENDA kwani utatofautisha kabisa maswala ya siasa na utendaji kazi uwajibikaji hakutakuwepo na hizi Si Ha Sa za hawa wanasiasa wetu waliopo madarakani


   
 5. M

  Mkandara Verified User

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mleta mada tafadhali... ebu rudia tena kweli hujakosa kitu?.
  Yaani wewe umenukuu sawa ama unaongezea yako maana kipande hicho cha wafaulu kutojua kusoma na kuandika kunanipumbaza..
  Unataka kunambia, kati ya wale waliofaulu mtihani asilimia 58.8 kuna wanafunzi ambao hawajui kusoma na kuandika? - Sasa hawa waliweza vipi kushinda mtihani ikiwa hawajui kusoma na kuandika! heee maajabu haya, au mimi ndio sielewi elimu ya Tanzania inapimwa vipi?
   
 6. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu Mkandara jamaa hajakosea kunukuu ni kweli Utafanyika Mchujo mwingine kuwabaini Wasiojua kusoma wala Kuandika Miongoni mwa waliofaulu
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Wizara ya Elimu wameanza kuchanganyikiwa. Madudu gani haya wanafanya hapa!.

  Nashauri Wizara pamoja na taasisi zake (including NECTA) ya Elimu ibnafsishwe ili kuongeza ufanisi. Hii ni sekta muhmu na serikali imeshndwa kuiongoza.
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  walitumia vigezo gani kujua ufaulu wake. Hawa jamaa ni zero kweli.
   
 9. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,705
  Likes Received: 2,388
  Trophy Points: 280
  walijibu kwa kutumia mtindo wa ana- ana-ana- doo...!huhitaji kujua kusoma wala kuandika mkuu!
   
 10. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,437
  Likes Received: 1,018
  Trophy Points: 280
  Swala la matokeo ni mambo ya namba takwimu, yaani figures, tables, graphs na ngwini kidogo sana lakini watoa matokeo, magazeti na so called wachambuzi wanajidai kututafunia ndio wanaaribu zaidi.
  Tungependa kujua performance kwa shule, kanda, mikoa, kata, wilaya, bongo internationals vs kayumba's ili zitusaidia kujua watoto wetu tupeleke wapi na sera zimekwama wapi?.
  Sasa politike tu kwa kwenda mbele, wenye data please!
   
 11. d

  dada jane JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  leo ndo unashtuka.
   
 12. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,080
  Trophy Points: 280
  Kila uchao ni bora ya jana...sasa hawa walifaulishwa leo wanasema wakapimwe upya,ilikuwaje wakafaulu?wawezaje kumwona mtu kaandika,kachora,akapata maks alafu bado ukatilia shaka tena,ama ndo tuamini serikali haina imani na usimamizi wa mtihani?ama inaonekana wasaishaji na baraza kwa ujumla hawana record za maendeleo (continous assesment) na kama wanazo zinatumikaje?ya wanafunzi wanapokuwa shule?maswali ni mengi kupita kiasi lakini hii ndo miaka hamsini ya uhuru..kweli tumedhubutu!
   
 13. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wandugu haya matokeo yanapatikana kwa mtandao!? Mwenye kujua anijuze.?
   
 14. M

  Malabata JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Viongozi wetu wanacheza sana na akili zetu,Wanajiwazia wao tu.
   
 15. M

  Mkandara Verified User

  #15
  Dec 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Aaaah saasa hivi nimejulishwa vizuri sababau. Inasemekana watu wengi walinunua majibu ya mitihani kabla ya kukaa kutihaniwa hivyo ktk kubaini walioipitishwa kwa wizi ndio maana wanataka kuwatihani kwa vitu vitatu, kusoma kuandika na hesabu - Kazi kweli kweli!
  nakumbuka enzi zetu sisi ikibaini tu kwamba mitihani iliibiwa huwa wanabadilisha pale pale siku ya mitihani. Nyerere aliweza vipi kufanya hivyo sijui lakini nachoelewa kulikuwa na mitihani aina mbili yaani serikali (wizara ya elimu) wana plan B..
   
 16. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 801
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  unamaanisha nn?
   
 17. m

  muchetz JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Kabla hujaenda hata kwenye takwimu. Hivi kweli mtihani wa hisabati ukawa wa "multiple choice"!!!!!!!!!! Mi sitaki kuamini tuna viongozi, wasomi, e.t.c .... Tuna laana!!!! tena KUBWAAAAAAA
   
 18. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #18
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  serikali yatuchezea makida,,,,,
   
 19. Linyakalumbi

  Linyakalumbi JF-Expert Member

  #19
  Dec 16, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wamethubutu,Wameweza Wanasonga mbele Slogan by Professor Rekaza Mukandara UDSM.(PhD Political Science & Public Administration),naombeni mchango wa ada akapate kasetifiketi japo ka-menejiment.maana hawa miaka 6 baadae atawafukuza kwa kumgomea pale mlimani kwa sababu watakuwa wameenda kimagumashi toka mwanzo
   
Loading...