Matokeo ya darasa la saba; shule za mkoa anakotoka Lisu na Nyalandu zaongoza.

Owiiiiiiiii Bavicha nani amewaloga? ukimtaja tu Lissu in negative way utawoga matusi humu tunazidi kuwaombea kuna cku Mungu atatenda maajabu dhidi yenu.mm ni mtanzania tu sihitaji ujue kabila langu!!!
 
Matokeo ya shule za msingi yametoka huku shule za msingi toka mkoa wa Singida zikiongoza kwa kufanya vibaya katika matokeo hayo.
Hili jambo lilikuwa linategemewa,kama wabunge wenyewe ni wazee wa kitalee nyalandu naye kahamia nairobi.
 
Nimekuelewa japo ulitumia misamiati lakini kiukweli ata Dar mwaka jana walishika mkia,na sikumbuki kama Nyarandu na Lissu wana ata cheti cha Ualimu.Tumia akiri kabla ya kupost ujinga.
 
Ulikuwa na hoja nzuri tatizo umemuhusisha TL na Nyalandu....

Hoja yako umeiweka kisiasa mno.... Badilika mkuu
 
Back
Top Bottom