Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

Mkuu, nina uhakika kwa asilimia 90, watakao elewa hiyo ni wachache.
Wengi ni vilaza hawaelewi kitu
Tuwasaidie hapa,MD ni degree pekee ambayo baada ya mtu kumaliza degree ya kwanza hupewa heshima ya kua doctor bila kusoma master wala phD..........wao wanajua udaktari ni kazi ya kutibu
 
Wengi wanaochangia kusupport huu ujinga either ni wajinga ama watoto sana.........serikalini hata mshahara wa CO uzidishe mara mbili bado,atakua anadaiwa zaidi ya laki 3 na MD.......na hii ni kwasababu CO sio daktari
Sasa hizi ni pumba
Labda wazidiane kutokana na miaka ya kazi au cheo lakini sio hyo
Yani uzidishe mshahara wa Co mara mbili na bado azidiwe laki 3 ... mhhh ???
 
Vita ya MD na CO haitokuja kuisha mpaka kiama....yaaaani MD munawachukia saaana CO


Na ndio maana vyuo vya serikali huko munawatesa sana chuki zenu zinafanya munawapa marks za chuki chuki hususan clinicals.....not fair
MD hawezi kumchukia CO .....ila CO kujifananisha na MD ndio anaanzisha chuki
 
MD akitaka kumtibu mtu wa malaria na CO akitaka kumtibu mtu wa malaria kutokea kumchukua history mpaka kumfanyia diagnosis na kumuandikia dawa kuna tofauti yeyote ?
Watu hawewezi kua na elimu sawa sababu wanafanya kazi sawa elewa hili............
MD ni doctorate degree anayopewa mtu baada ya kumaliza kozi ya doctor of medicine........MD anaweza kufanya kazi ya utabibu na hakuna kazi ya udaktari duniani
 
Mkuu watu wanaosema hivyo ni wajinga waliotunukiwa elimu.

Kama ambavyo kuna diploma ya pharmacy na ualimu basi ndivyo hivyo kwenye udaktari kuna diploma yake ambayo ndio hiyo clinical medicine
Namna hii mwl wa diploma sio mwl, nacheka sana navyopitia comments za madaktari wasomi
 
Duuh jamaa utakuwa MD sio kwa comment hiyo aisee
Hili jukwaa huru mtu yeyote anaruhusiwa kutoa elimu,kwa manufaa ya sisi wajinga.
Watu wanapaswa waelewe tofauti ya tabibu na datktari.
1.Tabibu/clinician=CA,CO,AMO,MD
2.Daktari/Doctor=MD,PhD
 
Hiyo taaluma ya MBBS isingekuwepo hapa nchini kama ingekua n kitu kimoja
MD na MBSS si taaluma za hapa nchini,ni taaluma kongwe zenye miaka zaidi ya 1000,.........MD/MBSS ni kitu kimoja,kulingana na nchi ama chuo mfano U.S.A baadhi ya vyuo hutoa MBSS vingine MD ial wote husajiliwa kama licensing general practitioner,maana kozi zao zinafanana
 
MD na MBSS si taaluma za hapa nchini,ni taaluma kongwe zenye miaka zaidi ya 1000,.........MD/MBSS ni kitu kimoja,kulingana na nchi ama chuo mfano U.S.A baadhi ya vyuo hutoa MBSS vingine MD ial wote husajiliwa kama licensing general practitioner,maana kozi zao zinafanana
Hv unajielewa kweli?
 
bwana mdogo uelewa wako ni mfinyu sana,lecturer gani au professor gani apoteze muda wake kufundisha CO , CO wanafundishwa na MD Tanzania nzima.
Kama hujui vitu uliza tukueleweshe usiongee ujinga hapa. na kwa taarifa yako kuna vyuo CO wanafundishwa na AMO , nchi ngumu sana hii.
Kwamba AMO akamfundishe CO?

Katika watu walio andika ujinga JF leo , unashika namba moja

Yani assistant medical officer awe bora kuliko Clinical officer kias cha kumfundisha.. alooo
 
Hili jukwaa huru mtu yeyote anaruhusiwa kutoa elimu,kwa manufaa ya sisi wajinga.
Watu wanapaswa waelewe tofauti ya tabibu na datktari.
1.Tabibu/clinician=CA,CO,AMO,MD
2.Daktari/Doctor=MD,PhD
Ile screenshot uliiona au nirudie tena? Manake ukipigwa kwenzi la utosi ina assume kama huon kabisa
 
Tutafute mtu wa tatu asaidie

Majukum hayo hata CO anafanya

Kimsingi kwenye utendaji hakuna tofaut , utofaut uliopo ni kwenye elimu ,mmoja anaelimu zaid ya mwenzie

Lkn elimu hiyo inabak kua ni general haina u specialist wowote , ndio maana wote n watu wa kaunta View attachment 1988281
You are fucked up again my friend.......,ukienda MSD,NIMR,OSHA etc.......mashirika ya kimataifa kama MDH,W.H.O,etc utawaona MD kibao wanafanya kazi huko tofauti na hizo unzogoogle hapo............any way CO sio daktari..........
 
Mkuu itakua umesoma zaman sana

Psychiatric CO wanasoma , again big difference kati ya CO na MD ipo kwenye "wanasoma kwa kiwango gani" hii hata nursing wanasoma , tunajua MD anasoma kiundani zaid, hata nurses wanasoma deep sana hii
Kwenye MD,psychiatrist ni rotation hio sio topic hio ni complete packaje watu wanamenyeka..........MD anapiga emergency medicine,occuapational medicine,family medicine etc......ambazo C.O anazisikia tu.......MD anafanya research toka MD 02.........ushawaji jiuliza kwa nini serikali inalipa mshahara wa MD mara mbili ya mshahara wa CO jumlisha Mshahara wa C.A?,
Anyway C.O. sio daktari
 
You are fucked up again my friend.......,ukienda MSD,NIMR,OSHA etc.......mashirika ya kimataifa kama MDH,W.H.O,etc utawaona MD kibao wanafanya kazi huko tofauti na hizo unzogoogle hapo............any way CO sio daktari..........
Kama uko over 25 yrs of age alafu hii ndio thinking yako una shida mahali

Every MD that I Know , wanafikiria kua na vituo vyao vya afya, here comes someone ana ndoto za ajira
 
Utofaut wa Kielimu mbona tushakubaliana huko juu zamani tu

Ila wote n watu wa kaunta
........you are fucked up again my sister.......ukienda MOI/JKCI wapo MD kibao vitengo tofauti .....MD ni kiraka ndio maana inaitwa doctor of medicine
 
Kama uko over 25 yrs of age alafu hii ndio thinking yako una shida mahali

Every MD that I Know , wanafikiria kua na vituo vyao vya afya, here comes someone ana ndoto za ajira
MD hata afanye kazi dispensary hawezi kua sawa na CO.
By the way CO sio daktari
 
Back
Top Bottom