Wajinga wengi humu wanaobisha hawajui wakifanyacho.........Bro,unajua ulichokiandika ama ilimradi tu?! Unaweza nipa tofauti ya MD na MBBS?!
Wajinga wengi humu wanaobisha hawajui wakifanyacho.........Bro,unajua ulichokiandika ama ilimradi tu?! Unaweza nipa tofauti ya MD na MBBS?!
Wengi ni vilaza hawaelewi kituMkuu, nina uhakika kwa asilimia 90, watakao elewa hiyo ni wachache.
Sasa hizi ni pumbaWengi wanaochangia kusupport huu ujinga either ni wajinga ama watoto sana.........serikalini hata mshahara wa CO uzidishe mara mbili bado,atakua anadaiwa zaidi ya laki 3 na MD.......na hii ni kwasababu CO sio daktari
MD hawezi kumchukia CO .....ila CO kujifananisha na MD ndio anaanzisha chukiVita ya MD na CO haitokuja kuisha mpaka kiama....yaaaani MD munawachukia saaana CO
Na ndio maana vyuo vya serikali huko munawatesa sana chuki zenu zinafanya munawapa marks za chuki chuki hususan clinicals.....not fair
Watu hawewezi kua na elimu sawa sababu wanafanya kazi sawa elewa hili............MD akitaka kumtibu mtu wa malaria na CO akitaka kumtibu mtu wa malaria kutokea kumchukua history mpaka kumfanyia diagnosis na kumuandikia dawa kuna tofauti yeyote ?
we jamaa nimecheka sana, eti kazi yake kuua watu.Shida ni digrii miaka mi5 ndio kinawatesa watu..na kujiona superior..wakati kazi ni zile zile..utadhani co kazi yake ni kuua watu.
#MaendeleoHayanaChama
MD hawi MD sababu anatibu malaria ni sababu amequalify kuitwa MDMD na CO wanatibu malaria tofauti au ni ile ile?
Duuh jamaa utakuwa MD sio kwa comment hiyo aiseeNdugu usilazimishe mambo, clinical officer hajawahi kuwa daktari, ni sawa na kusema bruda ni padre...
Namna hii mwl wa diploma sio mwl, nacheka sana navyopitia comments za madaktari wasomiMkuu watu wanaosema hivyo ni wajinga waliotunukiwa elimu.
Kama ambavyo kuna diploma ya pharmacy na ualimu basi ndivyo hivyo kwenye udaktari kuna diploma yake ambayo ndio hiyo clinical medicine
Hili jukwaa huru mtu yeyote anaruhusiwa kutoa elimu,kwa manufaa ya sisi wajinga.Duuh jamaa utakuwa MD sio kwa comment hiyo aisee
MD na MBSS si taaluma za hapa nchini,ni taaluma kongwe zenye miaka zaidi ya 1000,.........MD/MBSS ni kitu kimoja,kulingana na nchi ama chuo mfano U.S.A baadhi ya vyuo hutoa MBSS vingine MD ial wote husajiliwa kama licensing general practitioner,maana kozi zao zinafananaHiyo taaluma ya MBBS isingekuwepo hapa nchini kama ingekua n kitu kimoja
Hv unajielewa kweli?MD na MBSS si taaluma za hapa nchini,ni taaluma kongwe zenye miaka zaidi ya 1000,.........MD/MBSS ni kitu kimoja,kulingana na nchi ama chuo mfano U.S.A baadhi ya vyuo hutoa MBSS vingine MD ial wote husajiliwa kama licensing general practitioner,maana kozi zao zinafanana
Kwamba AMO akamfundishe CO?bwana mdogo uelewa wako ni mfinyu sana,lecturer gani au professor gani apoteze muda wake kufundisha CO , CO wanafundishwa na MD Tanzania nzima.
Kama hujui vitu uliza tukueleweshe usiongee ujinga hapa. na kwa taarifa yako kuna vyuo CO wanafundishwa na AMO , nchi ngumu sana hii.
Ile screenshot uliiona au nirudie tena? Manake ukipigwa kwenzi la utosi ina assume kama huon kabisaHili jukwaa huru mtu yeyote anaruhusiwa kutoa elimu,kwa manufaa ya sisi wajinga.
Watu wanapaswa waelewe tofauti ya tabibu na datktari.
1.Tabibu/clinician=CA,CO,AMO,MD
2.Daktari/Doctor=MD,PhD
You are fucked up again my friend.......,ukienda MSD,NIMR,OSHA etc.......mashirika ya kimataifa kama MDH,W.H.O,etc utawaona MD kibao wanafanya kazi huko tofauti na hizo unzogoogle hapo............any way CO sio daktari..........Tutafute mtu wa tatu asaidie
Majukum hayo hata CO anafanya
Kimsingi kwenye utendaji hakuna tofaut , utofaut uliopo ni kwenye elimu ,mmoja anaelimu zaid ya mwenzie
Lkn elimu hiyo inabak kua ni general haina u specialist wowote , ndio maana wote n watu wa kaunta View attachment 1988281
Kwenye MD,psychiatrist ni rotation hio sio topic hio ni complete packaje watu wanamenyeka..........MD anapiga emergency medicine,occuapational medicine,family medicine etc......ambazo C.O anazisikia tu.......MD anafanya research toka MD 02.........ushawaji jiuliza kwa nini serikali inalipa mshahara wa MD mara mbili ya mshahara wa CO jumlisha Mshahara wa C.A?,Mkuu itakua umesoma zaman sana
Psychiatric CO wanasoma , again big difference kati ya CO na MD ipo kwenye "wanasoma kwa kiwango gani" hii hata nursing wanasoma , tunajua MD anasoma kiundani zaid, hata nurses wanasoma deep sana hii
Kama uko over 25 yrs of age alafu hii ndio thinking yako una shida mahaliYou are fucked up again my friend.......,ukienda MSD,NIMR,OSHA etc.......mashirika ya kimataifa kama MDH,W.H.O,etc utawaona MD kibao wanafanya kazi huko tofauti na hizo unzogoogle hapo............any way CO sio daktari..........
........you are fucked up again my sister.......ukienda MOI/JKCI wapo MD kibao vitengo tofauti .....MD ni kiraka ndio maana inaitwa doctor of medicineUtofaut wa Kielimu mbona tushakubaliana huko juu zamani tu
Ila wote n watu wa kaunta
Daktari ni MD/PhD......hakuna diploma ya MD wala PhD hadi leo......endelea kucheka tu mjinga usiependa kusomaNamna hii mwl wa diploma sio mwl, nacheka sana navyopitia comments za madaktari wasomi
MD hata afanye kazi dispensary hawezi kua sawa na CO.Kama uko over 25 yrs of age alafu hii ndio thinking yako una shida mahali
Every MD that I Know , wanafikiria kua na vituo vyao vya afya, here comes someone ana ndoto za ajira