Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

Kuna watu wakisoma MD wanaona wengine waliosomea afya ni takataka..leo hii et C.O si daktari sijui yeye hajasoma hizo anatomy,physiology na pharmacology na zinginezo..ili kutibu magonjwa..acheeni roho mbaya za chuki..wote mnajenga nyumba moja mbona ku nyanganyana fito..kisa digrii.

#MaendeleoHayanaChama
Basi ndo hivi hivi walikuwaga wanafanya kuuza watumwa!!! ukionekana unaakili sana kwenye Milki ya mfalme wanakupangia kukukamata ukauzwee!!

Damu hii ya umimi haija ishaga!! na wala siyo kwamba Africa ni maskini km wanavyo fikiiri wengi, ila roho za kwa nini ni nyingi mnooo!
 
Back
Top Bottom