Matokeo ya Chama cha Democrat Yashindwa Kutangazwa IOWA - USA

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,231
2,000
Baada ya kufanyika jana kwa kwa uchaguzi katika jimbo la IOWA huko Marekani kwa nafasi ya mgombea urais wa chama Democrat katika uchaguzi mkuu mwaka huu mpaka sasa matokeo hayajatangazwa.
Je kuna uchakachuaji kwenye matokeo hayo ?

Vote-reporting mess leaves Iowa with no victor on caucus night
 
asuelo

Member
Oct 24, 2016
70
125

Bernie Sanders kawashika pabaya Democrats maana viongozi hawamtaki, wanamtaka Biden lakini Raia wanamtaka Sanders Huku Trump anashangilia Jinsi wanavyochanganya madesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,580
2,000
Kuna vita kati ya wananchi wa kawaida na matajiri, establishment wameangukia pua, DNC wanataka kuchakachua matokeo.
Hata Trump alipata changamoto kama hii lakini si kutoka katika chama chake. Honestly nilikuwa namkubali Sanders kuliko wote, then yule young billionaire then Trump. Tatizo Sanders naona umri na nguvu zimeenda sikutarajia atagombea tena.
 
Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
6,765

Ni kweli ana umri mkubwa lakini sera zake ni kwaajili ya taifa la kesho. Hao wengine wanataka mambo yaendelee kama yalivyosasa, yaani kuchukua utajiri kwa masikini na watu wa kati na kuulimbikiza kwa matajiri.

Wengi wa wagombea wa Demokrat walisomeshwa vyuoni (karibia na) bure lakini leo hii wanaona sawa vijana kumaliza vyuo na madeni ya zaidi ya shilingi milioni 100. Bernie yeye anataka kuondoa student loan, utaona mwenyewe nani mwenye akili za kizee.
 
MasterP.

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
7,415
2,000
Baada ya kufanyika jana kwa kwa uchaguzi katika jimbo la IOWA huko Marekani kwa nafasi ya mgombea urais wa chama Democrat katika uchaguzi mkuu mwaka huu mpaka sasa matokeo hayajatangazwa.
Je kuna uchakachuaji kwenye matokeo hayo ?

Vote-reporting mess leaves Iowa with no victor on caucus night
Biden Chaliiiiiiii...
Hadi wameona aibu kutangaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom