Matokeo ya bunge la leo, CHADEMA 5,NCCR 2 na CCM 1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya bunge la leo, CHADEMA 5,NCCR 2 na CCM 1

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Landala, Jun 19, 2012.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kikao cha bunge ndo kimemalizika muda si mrefu na matokeo ni CHADEMA 5 NCCR 2 CCM 1.

  Kutokana na michango mizuri ya wabunge wa CHADEMA kama akina mchungaji Msigwa,Naomi Kaihula,John Mnyika,Chiku Agwao na Christina Lissu,kwa kweli CHADEMA wamewakandamiza kweli CCM,wabunge wa NCCR kama vile David Kafulila na James Mbatia wameshika nafasi ya pili,chama cha mapinduzi kimepata moja kwa kuwa wabunge wake akina Lusinde wamekalia majungu wabunge kumi wa CCM waliojitahidi kuongea ndo wamefanya chama chao kupata hiyo kura moja.
   
 2. D

  Deofm JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Majaji walikuwa akina nani? na ni vigezo gani vilitumika kutoa huo ushindi
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Watanzania mmeshasahu maana ya bunge la bajeti. Badala ya kujadili vyanzo vya mapato na vipaumbele vya matumizi, mnajadili chama gani kimepata point!!!
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ah,,,kumbe vipima joto vianatusaidia
   
 5. proisra

  proisra JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ===================

  SIPATI PICHA, KUMBE WINGI WA CCM BUNGENI :llama:SIYO HOJA, 'QUALITY IS BETTER THAN QUANTINTY'.
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  marco,,,unajua wanasiasa wanachokifanya KUTUMIA BUNGE KAMA SEHEM YA WAO KUONESHA WANAWEZA KUZUNGUMZA,,,HIVI LEO WABUNGE WANGAPI WAMEHIT POINT(JUU YA BAJETI)NA SI VIJEMBE
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kumbe JF napo wapo ma***zi km aliosema mnyika
   
 8. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kwa hio kura 2 zimeharibika
   
 9. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Mimi nimetafakali kwa kina nikaona CHADEMA niwape mia kwa mia. Mia
   
 10. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa kachakachua matokeo kila dakika walipopanda cdm ilikuwa ni mabao ya kutosha.
   
 11. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Pale naona ni wapinzani kwa ujumla wao dhidi ya CCM, kama alivyowasilisha Mkosamali ni true kabisa hawa magamba wameshindwa kila sehemu.

   
 12. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mimi nimetafakari nikaona mtu pekee aliye ichambua bajet kisomi ni chrisina lissu pekeyake and no one else..
   
 13. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hoja za baadhi ya wabunge wa ccm zina mashiko 25%..mashiko 35%chadema nccr 20%..tlp20
   
 14. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  majaji ni wananchi mbali mbali waliolifuatilia bunge la leo na vigezo ni hoja mbali mbali walizochangia wabunge.
   
 15. Pastor Achachanda

  Pastor Achachanda JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 3,011
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Sikuangalia bunge kwani niko mbali kikazi ila hapa JF ndo nakuta kuna hili la KURA.Linahusiana na nini?
   
 16. M

  Mujanjabi Member

  #16
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mm kama mwana ccm chadema mpo juuuuu sana na natafuta kadi ya chadema kuanzia kesho kweli tumeishiwa hatuna hata cha kuongea.
   
 17. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  hivi leo MBATIA aliegemea upande gani jamani kwa wenye kuweza kuchambua mambo ya siasa
   
 18. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Tuna safari ndefu sna ya kuona mbali , wengi wetu tunaona hips zetu tu
   
 19. F

  FUSO JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,834
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  mchumi numberi one tz toka chama twawala mbona umemsahau?
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Japo kuwa nina kichwa ngumu kuelewa mbona hii nimeielewa?
  Bila shaka wewe utakuwa umeelewa zaidi.
   
Loading...