Matokeo ya bodi ya wagavi -psptb november 2012 yale yaliyochelewa kutoka yametoka

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,089
829
ambao wanafanya mitihani ya bodi ya WAGAVI (PSPTB) ya matokeo ya NOVEMBER 2012 ndio yametoka kwa maelezo zaidi tembelea website yao
ucheki kwa wewe uliyefanya hiyo mitihani unaweza kumjulisha na jamaa au rafiki yako ambaye unalifanya pia

EXAMINATION RESULTS NOVEMBER, 2012 GO TO DOWNLOADS
PSPTB
CC tindikalikali
 
Tunashukuru mkuu,nataka nianze kufanya P1 this november ila sitaki kufanya review classes,any materials from any one au namna gani naweza kupata materials?natanguliza shuktani.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Tunashukuru mkuu,nataka nianze kufanya P1 this november ila sitaki kufanya review classes,any materials from any one au namna gani naweza kupata materials?natanguliza shuktani.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
unaweza piga kama private bila review class na materials muhimu SYLLABUS ya bodi ambayo inakupa muongozo wa nini cha kusoma..
syllabus inauzwa -Tsh 4500/- pia wana vitabu vyao vya mitihani na mannual wanauza pale bodi hivyo navyo wanauza
kuna vitu vingi vinapatikana kwenye internet kama una vihitaji MIE nimefanya mwaka jana PI kama private na nimefaulu masomo yote...
some of reference ambazo pia online zinapatikana kwa baadhi ya kozi ni kama
lawa of contracts unaweza download hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-of-contract-act-ya-tanzania.html#post5157155
pia hapa unaweza pata ACT na regulations za PSPTB..PSPTB
unaweza ukatafuta notice za BUSINNESS LAW
SOMO kama managerial economics kwenye syllabus wameweka reference ambazo kuna vitabu unaweza kuvipata kwenye bookshop mahala ulipo
kwa hiyo unaweza ukasoma na ukafaulu unaweza fuata huu ushauri
regards
 
Wa kukaya Maganga Mkweli ahsante sana,umenisaidia sana hapo kaka kazi kwangu,nataka niingie novemba hii.Shukrani kaka.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom