Elections 2010 Matokeo ya awali toka mkoa wa Singida

Mkulima

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
1,033
1,021
Kondoa Kaskazini

Urais
JK 1285
Prof. 371
Slaa 112


Ubunge
CCM 1250
CUF 621
CHADEMA 55
 
Samahani wakuu, Geography yangu imegoma. Hilo jimbo ni Kondoa Kaskazini mkoa wa Dodoma.

Inaelekea JF huwa hamkosei!
 
Nimeshangaa CUF kupata kura nyingi huko. Nikaambiwa kuna Waislam wengi!
 
Kondoa Kaskazini

Urais
JK 1285
Prof. 371
Slaa 112


Ubunge
CCM 1250
CUF 621
CHADEMA 55

Haya matokeo kwa Singida yanatisha. Nilijua tu mikoa maskini kama singida wanaikumbatia sana CCM wakati huwa inawasahau hata kwenye taarifa za habari hawasikiki.... watabakia kuwa nyuma kimaendeleo kwa kuendekeza ufisadi.:doh:
 
Back
Top Bottom