Elections 2010 Matokeo ya awali mkoani Dodoma

MwanaCBE

JF-Expert Member
Sep 23, 2009
1,771
804
RAIS- CHAD 111, CCM 86, CUF 1. BUNGE- CHAD 104, CCM 90, CUF 4, UPDP 3. DIWANI- CHAD 118, CCM 81. Hii ni suprise kubwa hapa kwa CCM ndugu zangu.
 
4-4-2 (formation ya kujeruhi) hapiti mtu labda wapite juu, tunakaba hadi vivuli.:nono:
 
Mapinduzi kila kona ya nchi, walikuwa wanvaa T-shirt tu na kula hela za mafisadi, lakini nafsi zao zilikuwa zimeshaamua zamani
 
duhh...hadi dodoma!?? hakyanan tenaaaaaa.......chichiemu wameangukia pua!!!:smile-big:
 
CHADEMA- Rais 111, Mbunge 104, Diwani 118. CCM- Rais 86, Mbunge 90, Diwani 81. CUF Rais 1, Mbunge 4. UPDP- Ubunge 3.
 
Jamani huyo ndiye Mungu...mpaka Dom kwao ccm wameanza kulowa namna hii,safi sana!!!!!!!!!!!!!!
 
CHADEMA- Rais 111, Mbunge 104, Diwani 118. CCM- Rais 86, Mbunge 90, Diwani 81. CUF Rais 1, Mbunge 4. UPDP- Ubunge 3.


Dahhh sasa hapo CBE mumemwaga Mzee mallole Jamani mzee wa mashule mengi hapo Dodoma vipi uko UDO,USTAWI WA JAMII NA MAENDELEO University?
Kuweni makini David Mallole ni Mjanja sana hutumia shule anazo zi sponsor na hao wanafunzi ndio wamempigia kura David mallole na ndio karata aliyo itumia wkati wa kura za maoni katika chaguzi zao hao CCM dodoma mjini kwani twakumbuka kabisa walio kuwa wna vuma sana ni Anthony Mavunde, Adam Kimbisa, Elias P. Ndejembi, Mallole wasnt in the list at all kwani baada ya kusubilia matokeo akachomekea zile kura za wanafunzi wake
 
kituo cha shirika la nyumba dodoma

urais

ccm: 122
chadema: 86
cuf:0

ubunge
ccm: 120
chadema:67
cuf:0
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom