Matokeo vipi chalenji stars na cranes?

mechi bado haijaanza sasa ni muda wa nyongeza mchezo kati ya zanzibar heroes na kenya (arambee stars)baada ya dakika 90 kuwa wamefungana mbilimbili. Taifa stars na Uganda ni saa moja .
 
kilimanjaro star imefungwa goli mbili. waliofunga ni okwi na sentongo. mia
 
[QUOTE=mdau wetu;Tushatunguliwa 3 bila,umeme umekatika,mpira umesimama,dkk ya 84
 
Ndo tatizo la kujaza hawa waganga wa kienyeji kwenye timu kaseja,kiemba,maftah,.. dk84 umeme umekatita uwanjani sisi waganda3 tanzsimba0
 
hali mbaya: Watanganyika vichwa chini kwa mara nyingine tena Waganda wako mbele kwa Goli 3 sisi tuna 0
 
Ndo tatizo la kujaza hawa waganga wa kienyeji kwenye timu kaseja,kiemba,maftah,.. dk84 umeme umekatita uwanjani sisi waganda3 tanzsimba0
YONDANI ndo chanzo cha matatizo pamoja hasa goli la pili na la tatu pia na CHUJI aliyeingia kipindi cha pili hana msaada wowote ni ndevu tu zinapeperuka uwanjani.
 
Pole sana kwa kutujazia magarasa apa kwenye timu letu la taifa kaseja,mafta, kiemba ni vituko leo bila yondani tulikua tunapigwa wiki leo
 
Pole sana kwa kutujazia magarasa apa kwenye timu letu la taifa kaseja,mafta, kiemba ni vituko leo bila yondani tulikua tunapigwa wiki leo
kama Yondani ni msaada imekuaje hizo tatu zikapita?????, njoo na hoja Staz kwa ujumla imecheza fyongo na Yondani na Chuji wakiwa mstari wa mbele kwa kucheza fyongo.
 
Sisi wenye uraia wa nchi mbili yaani ug na tz ushindi kotekote sawa tu.Kelvin yondani alikosa composure n omulunji wabo robie nssentongo was very clinical.Njooni bongo tuje tuendeleze marumbano ya simba na yanga
 
Back
Top Bottom