Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

Chama cha mapinduzi ccm leo wamepita nyumba kwa nyumba wakiwabembeleza watu waende wakapige kura, watu wamewajibu hakuna sababu, ya kufanya hivyo.
 
Kweli watu wa Babati wanajielewa. Nimewasikia Channel ten taarifa ya habari wakisema kwenye katiba ya CHADEMA hakuna kifungu hata kimoja kinachosema chama kitagomea uchaguzi.

Ndio maana wao wameenda kupiga kura.
Maigizo yenu yamwadodea mmeanza ngonjera?
 
Kweli watu wa Babati wanajielewa. Nimewasikia Channel ten taarifa ya habari wakisema kwenye katiba ya CHADEMA hakuna kifungu hata kimoja kinachosema chama kitagomea uchaguzi.

Ndio maana wao wameenda kupiga kura.
Mnajichosha Chadema walikwishajitoa hizo ni propaganda za CCM baada ya Uchaguzi kugomewa
 
Hao wana vyama vyao vya huko Tabora. Unajua huu usanii usanii unaofanywa na serikali ya CCM unanifanya niwe na dharau kubwa sana juu yao. Yani namuona Rais kama vile sijui nini!
Sio wewe tuu, bali kila mmoja anamuona kituko kasoro wale wanaccm kumbikumbi wafuatao mwanga wa karabai kumbe ndio kifo chao!
Uzuri ni kuwa majirani wamemtambua, jumuia za kimataifa nazo zimemjua hata yeye mwenyewe kajijua kituko!
 
Kweli watu wa Babati wanajielewa. Nimewasikia Channel ten taarifa ya habari wakisema kwenye katiba ya CHADEMA hakuna kifungu hata kimoja kinachosema chama kitagomea uchaguzi.

Ndio maana wao wameenda kupiga kura.
Fine, ni jia nzuri ya kuwafuta uanachama wasaliti. Hilo ni la kupongeza, wamajifuta uanachama
 
Back
Top Bottom