Elections 2010 Matokeo, tusisubiri tume wakuu

karibu sana, na kama ni wa kambi ya upinzani(ccm) , rudi kundini jaa vazi la kazi(la chadema) chama tawala
 
Karibu katika familia hii ya mzee JF. Kumbuka humu ndani watoto wengi ni baba mmoja. Dr. anaweza!
 
Chama Cha Majambazi wanaogopa kuwa wapinzani khe khe khe wawaulize wenzao wanaposhindwa hukubali matokeo. Wapi matokeo au wanagonja kupikwa? Walipa kodi wa nchi hii hawadanganyiki tena.
 
karibu sana, na kama ni wa kambi ya upinzani(ccm) , rudi kundini jaa vazi la kazi(la chadema) chama tawala

Hhahahahahahah! Hapo kwenye bluu nimecheka kwa sauti...!!! Ama kweli neema imefuliwa. CCM wamesahau kwamba wapiga kura wa sasa hivi ni wale waliozaliwa miaka ya katikati ya 80 na kuendelea, hawaijui TANU. Na wengi wao ni wale walizaliwa mwishoni mwa miaka ya 80 na mwanzoni mwa miaka ya 90...Hao hata CCM kwao sio kitu. Ni kizazi kipya kinachoangalia ubora wa kiongozi bila kujali anatoka chama gani cha siasa!
 
nawasalimuni; imebidi niache ubishi nijiunge; matokeo haya hayafai kusubiri.

Tume kazi yake ni kama megaphone tu kwa sababu matokeo yanabandikwa kwenye kila kituo na namna ya kujumlisha ni moja tu, hakuna namna nyingine. Hivyo ushindi utashangiliwa tu mara matokeo yanapobandikwa kwenye kila kituo cha kupigia kura.
 
Chama Cha Majambazi wanaogopa kuwa wapinzani khe khe khe wawaulize wenzao wanaposhindwa hukubali matokeo. Wapi matokeo au wanagonja kupikwa? Walipa kodi wa nchi hii hawadanganyiki tena.

Watapikaje wakati yamebandikwa vituoni na wapinzani wanafanya kazi ya kujumlisha? Kama watapika, kabla ya kuiva tu ni kupiga teke hilo sufuria!!
 
Maribu mshirika Mimi najiandaa kwenda kuchukua jimbo la Tunduru kaskazi 2015,, nipeni tough jamani
 
Hata hivyo unakaribishwa. Ila siku nyingine jiunge mapema. Wenzako tulishakuwa na viona mbali
 
Back
Top Bottom