Matokeo, tusisubiri tume wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo, tusisubiri tume wakuu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kujwalile, Nov 1, 2010.

 1. k

  kujwalile Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nawasalimuni; imebidi niache ubishi nijiunge; matokeo haya hayafai kusubiri.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  karibu...unakuja wakati wa ushindi?
   
 3. M

  Msharika JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  karibu sana, na kama ni wa kambi ya upinzani(ccm) , rudi kundini jaa vazi la kazi(la chadema) chama tawala
   
 4. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ulikosa uhondo muda mrefu; jiunge na mabadiliko
   
 5. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Karibu katika familia hii ya mzee JF. Kumbuka humu ndani watoto wengi ni baba mmoja. Dr. anaweza!
   
 6. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Chama Cha Majambazi wanaogopa kuwa wapinzani khe khe khe wawaulize wenzao wanaposhindwa hukubali matokeo. Wapi matokeo au wanagonja kupikwa? Walipa kodi wa nchi hii hawadanganyiki tena.
   
 7. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Hhahahahahahah! Hapo kwenye bluu nimecheka kwa sauti...!!! Ama kweli neema imefuliwa. CCM wamesahau kwamba wapiga kura wa sasa hivi ni wale waliozaliwa miaka ya katikati ya 80 na kuendelea, hawaijui TANU. Na wengi wao ni wale walizaliwa mwishoni mwa miaka ya 80 na mwanzoni mwa miaka ya 90...Hao hata CCM kwao sio kitu. Ni kizazi kipya kinachoangalia ubora wa kiongozi bila kujali anatoka chama gani cha siasa!
   
 8. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Tume kazi yake ni kama megaphone tu kwa sababu matokeo yanabandikwa kwenye kila kituo na namna ya kujumlisha ni moja tu, hakuna namna nyingine. Hivyo ushindi utashangiliwa tu mara matokeo yanapobandikwa kwenye kila kituo cha kupigia kura.
   
 9. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Watapikaje wakati yamebandikwa vituoni na wapinzani wanafanya kazi ya kujumlisha? Kama watapika, kabla ya kuiva tu ni kupiga teke hilo sufuria!!
   
 10. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maribu mshirika Mimi najiandaa kwenda kuchukua jimbo la Tunduru kaskazi 2015,, nipeni tough jamani
   
 11. m

  manchesterunit New Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naitaji matokeo ya Jimbo la Ubungo,Kawe na iringa mjini final.pia kuna tetesi kuwa mbowe jimbo la hai ameangushwa.je kweli?
   
 12. c

  chanai JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata hivyo unakaribishwa. Ila siku nyingine jiunge mapema. Wenzako tulishakuwa na viona mbali
   
Loading...