Matokeo toka tume ya uchaguzi - live itv


SOKETI

SOKETI

Senior Member
Joined
Jul 24, 2010
Messages
194
Likes
9
Points
35
SOKETI

SOKETI

Senior Member
Joined Jul 24, 2010
194 9 35
Tume ya uchaguzi inaendelea kutangaza matokeo ya majimbo mbalimbali nchini. Matokeo haya yanarushwa live katika television mbalimbali ikiwemo ITV. hadi sasa inaonyesha ktk majimbo mengi chama cha CCM kinaongoza katika maeneo mbalimbali.
 
Bob_Dash

Bob_Dash

Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
91
Likes
4
Points
0
Bob_Dash

Bob_Dash

Member
Joined Nov 1, 2010
91 4 0
Jamani hebu mtuwekee basi majina ya wabunge wa CHADEMA ama chama kingine mbali na CCM walioshinda,
 
Mwananzuoni

Mwananzuoni

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2009
Messages
291
Likes
31
Points
45
Mwananzuoni

Mwananzuoni

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2009
291 31 45
matokeo yanaendeleaje? Tupe msimamo
 

Forum statistics

Threads 1,252,277
Members 482,061
Posts 29,802,493