Matokeo sahihi ya urais b/f kuchakachuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo sahihi ya urais b/f kuchakachuliwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jembe_Ulaya, Nov 23, 2010.

 1. J

  Jembe_Ulaya Senior Member

  #1
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  tathmini ya uchaguzi mkuu mwaka huu wa 2010regional # of voters voters to vote kikwete lipumbaslaarungwepetermugahywa total winner by regionalarusha 831,827.00 540,687.55 179,240.00 10,814.00 349,011.00 220.00 500.00 902.00 540,687.00 slaa dar es salaam 1,786,290.00 1,161,088.50 464,435.40 104,497.97 580,544.25 3,000.00 5,500.00 3,110.00 1,161,087.62 slaa dodoma 1,032,372.00 671,041.80 416,045.92 26,841.67 221,443.79 2,000.00 2,000.00 2,710.00 671,041.38 kikwete iringa 921,054.00 598,685.10 239,474.04 11,973.70 341,250.51 1,986.00 2,100.00 1,900.00 598,684.25 slaa kagera 1,155,770.00 751,250.50 308,012.71 7,512.51 428,212.79 2,000.00 2,512.00 3,000.00 751,250.00 slaa kigoma 768,797.00 499,718.05 264,850.57 134,923.87 94,946.43 1,997.00 1,560.00 1,440.00 499,717.87 kikwete kilimanjaro 912,542.00 593,152.30 166,082.64 5,931.52 415,206.61 1,930.00 2,000.00 2,001.00 593,151.78 slaa lindi 508,193.00 330,325.45 188,285.51 109,007.40 32,032.00 200.00 300.00 500.00 330,324.91 kikwete manyara 634,065.00 412,142.25 98,914.14 4,121.42 304,985.27 2,000.00 121.00 2,000.00 412,141.83 slaa mara 813,330.00 528,664.50 200,892.51 10,573.29 315,198.00 1,405.00 500.00 95.00 528,663.80 slaa mbeya 1,275,389.00 829,002.85 265,280.91 24,870.09 530,561.82 8,000.00 200.00 90.00 829,002.82 slaa morogoro 1,122,583.00 729,678.95 496,181.69 145,935.79 80,264.68 500.00 600.00 6,196.00 729,678.16 kikwete mtwara 731,444.00 475,438.60 247,228.07 180,666.67 38,035.09 8,500.00 750.00 258.00 475,437.83 kikwete mwanza 1,659,641.00 1,078,766.65 409,931.33 21,575.33 636,472.32 2,000.00 787.00 8,000.00 1,078,765.98 slaa pwani 562,373.00 365,542.45 201,048.35 109,662.74 51,175.94 655.00 1,500.00 1,500.00 365,542.03 kikwete rukwa 668,817.00 434,731.05 239,102.08 18,790.00 174,500.00 350.00 1,542.00 446.00 434,730.08 kikwete ruvuma 710,579.00 461,876.35 318,694.68 25,454.00 116,727.00 245.00 500.00 255.00 461,875.68 kikwete shinyanga 1,650,632.00 1,072,910.80 343,331.46 25,450.00 697,392.02 1,200.00 1,450.00 4,087.00 1,072,910.48 slaa singida 668,697.00 434,653.05 226,019.59 12,500.00 195,593.00 520.00 8.00 12.00 434,652.59 kikwete tabora 1,000,091.00 650,059.15 273,024.84 162,514.79 213,519.00 250.00 700.00 50.00 650,058.63 kikwete tanga 1,031,239.00 670,305.35 375,371.00 201,091.61 90,842.00 1,200.00 1,412.00 400.00 670,316.60 kikwete 20,445,725.00 13,289,721.25 5,921,447.41 1,354,708.36 5,907,913.52 40,158.00 26,542.00 38,952.00 13,289,721.29 %44.5610.1944.450.300.200.29 100.00
   

  Attached Files:

 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,997
  Trophy Points: 280
  Mku ungeipanga vizuri hii habari ili tuione au iweke kwenye excell na kisha iufanye attachment
   
 3. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ilishapita hapa na kujadiliwa sana, ikaonekana ni fake (Imepikwa)
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hii ni zaidi ya kuwa HABARI NYETI kwa taifa letu. Kwa kuwa inaoneka kuopolewa mahala na wenye uchungu na maslahi ya taifa, acha data tukazipange wenyewe mzee kabla mjadala hajaanza hapa ya KUFA MTU. Na bado, wazee kazipakueni zaidi huko.
   
 5. K

  Kachest Senior Member

  #5
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi ya matokeo kayapata wapi atupe source halafu ayapange kwenye jedwali si kama alivyofanya kwani itamchukua mtu muda mrefu kuelewa kilichoandikwa
   
 6. M

  Mzee Kibiongo JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazushi wakubwa. Mmezoea kupika habari, kusema kuwa CHADEMA walishinda urais ni UONGO usio na aibu kwa sababu CHADEMA wana wabunge wangapi ukilinganisha na CCM? Halafu kwenye urais ndipo washinde??? Acheni unafiki. Dr. Slaa anajua wazi kwamba ushindi wa rais hauwezi kupingwa mahakamani kwa mujibu wa katiba iliyopo ndiyo maana anapika uongo wa aina hii kwa sababu hakuna mahali atakapoitwa atoe ushahidi alionao. Ni bingwa (narudia) wa kutunga uongo. Alipokuwa kule Mwanza aliongopa kuwa kuna kontena limekamatwa Tunduma likiwa na kura za CCM. Alipotakiwa kuthibitisha akajibu kuwa AMESIKIA. Huyu ndiye mnasema anafaa kuwa rais wa nchi??? Padri mzima anasema uongo wakati anajua fika kuwa ni dhambi!!!! You people are not serious. Na nyie na akili zenu mnakaa vijiweni mnasema alishinda urais!!! Wabunge 53 kulinganisha na 251 wa CCM halafu ashinde urais, jamani akili ya kawaida tu inatosha kusoma uongo huu. Halafu kumsusia rais ni directing hostility to a wrong person. Wao mbaya wao ni NEC na siyo rais, walisusa kwa kitu gani. Ona sasa wameanza kuumbuana wenyewe, na M/kiti wao anaanza ooh, fulani alikuwa mgonjwa, ooooh, fulani hakuwepo Dodoma. Mwongo, mbona tulikuwa nao kule Rose Garden Bar. Uongo utawachoma moto siku ya kiama, kuweni serious CHADEMA. Mnatakiwa kukomaa kisiasa.
   
 7. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mnataka kutuaminisha kuwa hayo yalikuwa matokeo? Yametolewa na nani? sasa yatatusaidia nini?
   
 8. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mzee Kibiongo mbona mapovu yanakutoka hivyo? Wewe jenga hoja tu!!!!
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,209
  Likes Received: 414,657
  Trophy Points: 280
  Yaani JK alishinda kwa kura 13, 534 tu...................hiyo bado hatujamulika uchakachuaji ambao hizi takwimu zimeshinda kuuthibiti.................Kweli JK hakustahili kuwa Raisi wetu..............................
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mkuu iedit vizuri au omba mods wakupangie safi!
   
 11. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,041
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  KWA MAANA HIYO HEBU TUPATIE MATOKEO YA URAIS 1995....! then tulinganishe
   
 12. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,981
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Mzee Kibiongo huamini, basi habari ndio hiyo. NEC CHAKACHUAS.
   
 13. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wewe ndiye mwenyekiti wa kamati ya uchakachuaji nini!! Naona umeandika porojo tu. Sioni point hapa. Unazungumzia idadi kubwa ya wabunge wa ccm as if ni matokeo ya uhakika yasiyotiliwa shaka. Yapo majimbo mengi sana ambayo ushindi wa ccm ulilazimishwa tu kwa kuchachua. Wananchi wangesimama kidete kama walivyofanya majimbo ya ilemela, nyamagana, arusha mjini, mbeya mjini, iringa mjini na ubungo, mngekiona cha mtema kuni pamoja na mafisadi wako. Huoni hata aibu kujivunia ushindi wa kijambazi!!! Loooooo!, pole sana. Kwa namna ulivyoandika inaonekana wewe ni fisadi.
   
 14. Chizi Fureshi

  Chizi Fureshi JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,710
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Nimetazama tofauti ya kikwete na slaa nikapata 13,533.89. Desimali kwenye kura zilizopigwa zinamaanisha nini? :embarrassed:
   
 15. k

  kigumu twawala Member

  #15
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nikusaidie kidogo tu, zama zile za kutumia propoganda alizo wafundisha mrema zimeisha. tatizo hapa ni kuchakachuliwa matokeo, sawa ndugu. Ukisha chakachua matokeo unashindwa kupata idadi hiyo ya wabunge na namba hizo zilizo kupa ushindi /Fikiri, tafakari tumia akili halafu urudi upya, sawa ndugu. Halafu ukimaliza shule uwe hata basi unajiendeleza kidogo kwakusoma ili kwenda na wakati. Bado tu mnatumia staili ileile badilisheni hata mitaala iende na wakati tunawastukia haitakiwi iwe hivyo. Kazi kwelikwei wanaita undercover agent au?l.
   
 16. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  hello Mbona hakuna Zenji??

  Anyway tunasubiri Chadema waje na ushahidi wauweke hadharani then tusikilizie mapigo.

  Chadema hurry up, we are waiting. tumechoka na mafisadi

  CHADEMA wakilalamika bila kuweka mambo hadharani ni kazi bure, wananchi wengi wanauliza.

  CHADEMA ikiweka mambo hadharani, hiyo itakuwa ni pigo kwa NEC na wananchi watapata mwamko wa kudai tume huru. Pia Elezeni masanduku ya kura za wizi yaliyokamatwa ambayo yako polisi na kasoro zote.
   
 17. BABU KIDUDE

  BABU KIDUDE JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,365
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Mzee mwenzangu umechemsha wewe mwenyewe unahuakika kama kikwete kashinda?
   
 18. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Mbona idadi ya kura zina decimali, hii haiwezekani. Uchakachuaji ndani ya mchakachuo. Hongera mtoa mada kwa kujifurahisha siku ya leo, nafikiri sasa moyo wako baridi, umeridhika. Good night!!!
   
 19. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #19
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,285
  Likes Received: 808
  Trophy Points: 280
  JEMBE ULAYA hii thread ilishajadiliwa na kuonekana ni fake mwanzoni mwa Nov. ulipojiunga kwanza neno Voters to vote ni waliotegemewa kupiga kura / km watapiga kura pia waliojiandikisha ni 20,445,725.00 watakaopiga kura 13,289,721.25 waliopiga kura kwa mujibu wa Tume ni 8,000,000 halafu chati hiyo haikuwa na kura zilizoharibika, pia hakuna idadi ya wapiga kura utakaowahesabu kwa decimal mwisho kura za Visiwani hazikuonyeshwa, kwa hiyo ulipochota Data hizo walishazileta ninachokuomba leta hizo zilizoibiwa zinazoonyesha Wabunge wa CCM 251 waliopigiwa kura hazikuwepo za Rais toka Chama hicho
   
 20. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #20
  Nov 24, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  deleted
   
Loading...