Elections 2010 Matokeo sahihi ya uchaguzi mkuu Tanzania 2010

Bobuk

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
5,870
3,270
tathmini ya uchaguzi mkuu mwaka huu wa 2010

regional

# of voters

voters to vote

kikwete

lipumba

slaa

rungwe

peter

mugahywa

total

winner by regional

arusha

831,827.00

540,687.55

179,240.00

10,814.00

349,011.00

220.00

500.00

902.00

540,687.00

slaa

dar es salaam

1,786,290.00

1,161,088.50

464,435.40

104,497.97

580,544.25

3,000.00

5,500.00

3,110.00

1,161,087.62

slaa

dodoma

1,032,372.00

671,041.80

416,045.92

26,841.67

221,443.79

2,000.00

2,000.00

2,710.00

671,041.38

kikwete

iringa

921,054.00

598,685.10

239,474.04

11,973.70

341,250.51

1,986.00

2,100.00

1,900.00

598,684.25

slaa

kagera

1,155,770.00

751,250.50

308,012.71

7,512.51

428,212.79

2,000.00

2,512.00

3,000.00

751,250.00

slaa

kigoma

768,797.00

499,718.05

264,850.57

134,923.87

94,946.43

1,997.00

1,560.00

1,440.00

499,717.87

kikwete

kilimanjaro

912,542.00

593,152.30

166,082.64

5,931.52

415,206.61

1,930.00

2,000.00

2,001.00

593,151.78

slaa

lindi

508,193.00

330,325.45

188,285.51

109,007.40

32,032.00

200.00

300.00

500.00

330,324.91

kikwete

manyara

634,065.00

412,142.25

98,914.14

4,121.42

304,985.27

2,000.00

121.00

2,000.00

412,141.83

slaa

mara

813,330.00

528,664.50

200,892.51

10,573.29

315,198.00

1,405.00

500.00

95.00

528,663.80

slaa

mbeya

1,275,389.00

829,002.85

265,280.91

24,870.09

530,561.82

8,000.00

200.00

90.00

829,002.82

slaa

morogoro

1,122,583.00

729,678.95

496,181.69

145,935.79

80,264.68

500.00

600.00

6,196.00

729,678.16

kikwete

mtwara

731,444.00

475,438.60

247,228.07

180,666.67

38,035.09

8,500.00

750.00

258.00

475,437.83

kikwete

mwanza

1,659,641.00

1,078,766.65

409,931.33

21,575.33

636,472.32

2,000.00

787.00

8,000.00

1,078,765.98

slaa

pwani

562,373.00

365,542.45

201,048.35

109,662.74

51,175.94

655.00

1,500.00

1,500.00

365,542.03

kikwete

rukwa

668,817.00

434,731.05

239,102.08

18,790.00

174,500.00

350.00

1,542.00

446.00

434,730.08

kikwete

ruvuma

710,579.00

461,876.35

318,694.68

25,454.00

116,727.00

245.00

500.00

255.00

461,875.68

kikwete

shinyanga

1,650,632.00

1,072,910.80

343,331.46

25,450.00

697,392.02

1,200.00

1,450.00

4,087.00

1,072,910.48

slaa

singida

668,697.00

434,653.05

226,019.59

12,500.00

195,593.00

520.00

8.00

12.00

434,652.59

kikwete

tabora

1,000,091.00

650,059.15

273,024.84

162,514.79

213,519.00

250.00

700.00

50.00

650,058.63

kikwete

tanga

1,031,239.00

670,305.35

375,371.00

201,091.61

90,842.00

1,200.00

1,412.00

400.00

670,316.60

kikwete

20,445,725.00

13,289,721.25

5,921,447.41

1,354,708.36

5,907,913.52

40,158.00

26,542.00

38,952.00

13,289,721.29

%

44.56

10.19

44.45

0.30

0.20

0.29

100.00

mikoa

slaa

10​

kikwete

11​

jumla

21

0.10​






 
Kagonjwa wewe!! Ndo umeyaona leo? Maajabu!! Nenda kalale wewe
 
Poor you! u are out of date!

Hata haya yamechakachuliwa ulishawahi kusikia kura sehemu (in fraction)? matokeo mengi hapo utaona kura sijui.47 sasa tumuamini nani sio mchakachuaji. Jaribu kuangalia column ya total za kura kwa kila mgombea utakuta zina sehemu,sasa kura au watu wanahesabiwa kwa sehemu,kura nusu?????????????????//////
 
Yaaani kuna vichwa vingine humu huwa nashindwa kuelewa ni vipi kiliingia uwanja kama huu bila orientation! Anyway, umenichosha naomba tu unipe pole, Haiwezekani hii kitu tumesharudia kuijadili tena na tena na tena. Anyway!
 
@ kapuni umefanya kitu kizuri sana maana huyu jamaa anajaribu kupotosha watu lkn bila ya utaalam hata mdogo. Mungu amemlani
 
Wakati mwingine tuwe na adabu walau kidogo. uchaguzi umeisha siku nyingi lakini utashangaa wengine wanajifanya kuja na matokeo ya kweli. Kwanza mtoa mada atuambie kayatoa wapi? matokeo hayo yatatusaidia nini?
 
jamani amejitahidi kutafuta data kueleza ukweli........mgonjwa nae mpeni heshima yake ......ana haki ya kutoa maoni mahala popote na wakati wowote! kama mnabisha mtayaona matokea mengine yanatolewana na mgonjwa mwingine mwakani december......wana haki ya kusikilizwa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom